Amkeni, amkeni wamekuja tena. INFINIX HOT 10T. Imekuwa launched

Pole sana. Ukiwa maskini unaamini vitu ndo vinakupa thaman. Nimeanza kutumia simu ukiwa mdogo au hujazaliwa. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Samsung. Toka miaka hiyo nmetumia Nokia,Samsung,Blackberry,Alcatel,Sony Ercsson, Huawei ndo simu pekee ya kichina nliyowahi tumia. Right now natumia Samsung. Mkurugenzi kazini kwangu anapokea salary ya tsh Mil 23 kwa mwezi. Anatumia tecno anaendesha Range Rover na Mercedes Benz. Zake na anaendeshwa kwenye V8 na BMW za Kampuni. Anatumia tecno mimi natumia Samsung naendesha gari za Mjapan. Ni mawazo ya kimaskini tu yanatufanya tuamini katika vitu flani. Yeye CEO simu kwake si kipaumbele.

si masikini tu hata tajiri,tofauti zetu ni moja tu
wao wananunua vitu wananyovipenda,sisi tunanunua tunavyoweza kulipia.

huyo mkurugenzi wa machizi kweli kweli,mkurugenzi wako atakuwa anakusikiliza wewe tu na ndiye ulimpelekea tecno[emoji23][emoji23].
kama umeanza kutunia samsung kama simu yako ya kwanza halafu ukaja kuzipenda tecno una shida sehemu,ukiacha na umri ambao nimezaliwa.
 
Tatizo lako ni kutaka kila mmoja awaze na kupenda sawa na wewe. Kipaumbele chako si lazima kiwe cha mwenzio. Tumeumbwa tofauti sana!
 
sijasema wala sijatka mtu afanye hivyo.
naandika ukweli wa mambo tu.
pesa ndio humwagiza mmiliki kipi afanye.

ukiona bado unaiamuru ujue haijawa nyingi bado.
 
Tecno & Sons kwenye chaji ni kiboko toka ameingia kwenye soko la smartphone kiuhakika! Hizi kampuni kubwa zinajaribu kupambana upande wa charge ila wapi!

Sony tu ndio aliwezaga optimization mapema ndio akawafungua akili akina Apple na Samsung ila still bado taji liko kwa mchina!

Huawei, Oppo, Xiaomi, Vivo, Tecno, Infinix wana akili nyingi kuwazidi hao giants kwenye uundaji na optimization ya battery!
Still bado
 
Sipendi infinix, tecno na itel japo natumia simu za kawaida tu
Infinix zimekuwa sare sare sana mfano smart 5
 
Kuna Samsung A series kibao zinaka na Chaji, baki Loyal kwa trusted brands zako ulizozitaja usipende kuhama hama kama mafuriko
Mfano ni mimi, mzigo ni Galaxy A21s aisee ni quality na mzigo huwa hauna mpango wa kushuka battery.
Ni ram 4,
Battery 5000

Utaniambia nini na simu zimia anytime hizo?
 
wanaosema haya makopo yao yanakaa na chaji wamekariri.

kuna simu zinasimamisha betry na ni viwango kama hizo ASeries,mimi nina a20 ila hakuna kitu mwenye infinix ananiambia.
 
Ukiishi kwa kujilinganisha na fulani matokeo yake ndio haya ya kuona waliochagua simu tofauti na yako wamekosea. Ishi maisha yake na waache wengine waishi yao. Kama nimeridhika na simu kitochi, kinakuuma nini na A80 yako??!!
 
mbona kama umechukia!!!!

wakati simu yako ina bei kubwa kuliko yangu[emoji1787][emoji1787]
 
Unajua humu ndani inatakiwa kuwe ba mtu anatoa darasa kwa unyenyekevu ili watu waelewe la sivyo mtaishia nabishano tu.......hapo kariakoo au sehemu nyingi ukienda jununua simu au tv, radio muuzaji ukimwambia unielezee maelezo ni tofauti ni wachache ndo wanajua....kwamfano muuza simu ukimuuliza hii simu inatumia chipset gani haelewi utaskia (inakaa sana na chaji na storage ni kubwa mno) au kioo aina gani hapo mmepoteana. Zaman kwa smartphone nilianza na itel kisha nikaja tekino nilipotumia tecno nilijiona kama mfalme tena usinishawishi kuusu kampuni nyingine. Lakin cha ajabu kila siku au miaka inaposogea natumia tecno ila jamaa zangu wanatumia brand kubwa tofaut naiona kwenye kioo, saaa nikaanza kujiuliza mbona hizi zingine zinakua tamu kweny muonekano zina kimwanga kitamu mpaka unapenda tofauti iko wap?? Apo ndo nikaanza kufatilia na nikaingia humu nakakuta wataalamu kibao kila kinachoandikwa kama sijui nauliza, na sasa sio mbaya sana sasa najua aina ya vioo, chipset(prosesor) na mambo kadha wa kadha.....basi ninapoyaona haya nafrai mno kwakua naendelea kujifunza.....juzi nilinunua simu 2 moja sansung midrange na nyingine infinix note 8i maana mwenza wang kang'ang'ania iyo infinixy...na kwakua zipo karibu kila nikilizinganisha moyoni najisemea stakuja kununua tena sio tecno wala infinixy maana kila kitu unaona wazi kama wamecopy na kupest......ila ukiwa mwenyewe utaona kama una simu ukifika kwa wenye brand zao lazma utanywea kimtindo wewe.
 
wanazi wa wereva ndio wanasàbabisha hata kutamkiwa maneno mabaya,acha tu kutoelekezwa kistaarabu.
mtu anakwambia katumia samsung na iphone,lg haoni cha maan zaidi ya tecno[emoji23][emoji23][emoji23].

tukija kwenye point yako,hakuna watu matapeli kama wafanyabiashara amini nakwambia.
fikiria wale mabinti ambao ukipita anakuita,atakuwa na maelezo gani zaidi ya kukwambia hii simu ina camera 5.na ujinga wako wa kutotafiti vitu unaona ewaaaa,huu ndio moto sasa.mfanyabishara anaangalia simu zinzonunuliwa na wajinga wengi ambao wana kipato cha chini pia ndizo anaweka

nakumbuka hii vita aliianza chief mkwawa,muda sana.yeye ugomvi wake ulikuwa watu kununua huu utopolo kwa bei ambazo wanapata vitu vizuri kabisa kutoka xiaomi,vivo nk.
mimi ninachopendaga kuwashauri wajenge mazoea ya kuwa watulivu ili wajifunze.

tevno,infinix,itel ni simu za watoto wa kike wa 15yrs wa uswazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mwaga nondo hapa jamvini wote tufaidike mkuu...!

Yupo mtoto anataka simu naangalia nimchukulie ipi kwa maana kanibariki usichana wake nikautoa kikamilifu sasa ni zamu yangu kulipa fadhila aisee...!

Weka nondo hapa mkuu.
Mtu kakupa usichana wake unampa infinix?

Tecno S1 huijui
 
Back
Top Bottom