kipaumbele cha kwanza cha hawa wanazi wa wereva ni simu kukaa na charge siku mbili[emoji28][emoji28][emoji28].screen mbovu tu, 720p na hamna gorrila glass protection
Mbona hawana usb type c mwaka wa 2021
Soc ni wastani sana
ROM mbona wanatumia technology iliyopitwa ya eMMC 5.1, sasa tuko UFS
Ikiwa watafuta simu katika budget hii, tafuta redmi 9T, redmi note 9 au uongeze hela upate redmi note 10
Ina sifa gani na tsh ngapi?Achana na hiyo hebu tafuta infinix note 8i kisha rudi tena hapa.
Ingia gsm arena.Ina sifa gani na tsh ngapi?
Kila mtu anaponunua simu kuna kitu analenga. So wapo sawa kama wap wanataka charge ya muda mrefu. Mwingine anataka camera nzuri, mwingine anataka music mkubwa, mwingine anataka screen nzuri. So vipaumbele haviwezi fanana hata siku moja.kipaumbele cha kwanza cha hawa wanazi wa wereva ni simu kukaa na charge siku mbili[emoji28][emoji28][emoji28].
wanapenda kuzima data na kupunguza mwanga hao.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We unatafuta computer, sio simu!!!
Uko sawa mkuu. Hata brand; wengine wananunua brand kubwa kwa show off tu wakati wengine wanalenga specifications nzuri at affordable price.Kila mtu anaponunua simu kuna kitu analenga. So wapo sawa kama wap wanataka charge ya muda mrefu. Mwingine anataka camera nzuri, mwingine anataka music mkubwa, mwingine anataka screen nzuri. So vipaumbele haviwezi fanana hata siku moja.
hatulazimishani,tunaelekezana.Kila mtu anaponunua simu kuna kitu analenga. So wapo sawa kama wap wanataka charge ya muda mrefu. Mwingine anataka camera nzuri, mwingine anataka music mkubwa, mwingine anataka screen nzuri. So vipaumbele haviwezi fanana hata siku moja.
Now nina infinix note 7 sioni walipopishana na huyo hot10TKuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane. Mimi nimekuwa nikitumia sana Huawei na Samsung. But jamaa kwa kigezo cha Battery kukaa nadhani kuna neno hapo.
So What? Unapoandika shirikisha ubongo kidogo. Wapumbavu wanazungimzia bei. Wenye akili wanazungimzia mahitaji.😁Samsung s10+ ya 2019 feb bei yake ni mara mbili ya hii simu yako ya may 2021
Kwa mtu mwelewa ananunua kitu kulingana na MAHITAJI YAKE. wapo watu wana uwezo wa kununua Iphone hawanunui sababu mahitaji yao hayawi favored na iphone. Ndo maana mimi sioni shida mtu akitumia tecno sababu ndo kaipenda na mwingine akitumia iphone sababu ndo kaipenda. Ni mahitaji tu. Mwingine simu kwake ni kupiga,kupokea na sms. Hana jingine. Haoni haja ya kuwa na simu yenye mbwembwe nyingi.Uko sawa mkuu. Hata brand; wengine wananunua brand kubwa kwa show off tu wakati wengine wanalenga specifications nzuri at affordable price.
wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.Kwa mtu mwelewa ananunua kitu kulingana na MAHITAJI YAKE. wapo watu wana uwezo wa kununua Iphone hawanunui sababu mahitaji yao hayawi favored na iphone. Ndo maana mimi sioni shida mtu akitumia tecno sababu ndo kaipenda na mwingine akitumia iphone sababu ndo kaipenda. Ni mahitaji tu. Mwingine simu kwake ni kupiga,kupokea na sms. Hana jingine. Haoni haja ya kuwa na simu yenye mbwembwe nyingi.
Hakika, uko sahihi!!!Kwa mtu mwelewa ananunua kitu kulingana na MAHITAJI YAKE. wapo watu wana uwezo wa kununua Iphone hawanunui sababu mahitaji yao hayawi favored na iphone. Ndo maana mimi sioni shida mtu akitumia tecno sababu ndo kaipenda na mwingine akitumia iphone sababu ndo kaipenda. Ni mahitaji tu. Mwingine simu kwake ni kupiga,kupokea na sms. Hana jingine. Haoni haja ya kuwa na simu yenye mbwembwe nyingi.
Ni mtazamo wako tu. Si kila anayenunua cha bei nafuu amelazimishwa na uchumi maana si kila cha bei kubwa kina mvuto kwa kila mtu. Wengi tunavutiwa na specifications za simu, si brand wala majina makubwa!wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.
jalafu ni mambo ya kawaida kununua kitu cha chini sababu za kiuchumi,sioni sababu ya kutolea maamuzi,huipendi tecno ni maisha tu.
ukinambia si kila mwenye simu ya bei ana hela,ngakuelewa lakini si kinyume chake.Ni mtazamo wako tu. Si kila anayenunua cha bei nafuu amelazimishwa na uchumi maana si kila cha bei kubwa kina mvuto kwa kila mtu. Wengi tunavutiwa na specifications za simu, si brand wala majina makubwa!
Tuheshimu vionjo vya watu, si kulazimisha kila mtu awe na vionjo sawa na sisi! Mfano mimi, sina mzuka kabis na Samsung pamoja na jina lake kubwa. Nimenunua infinix ya laki 5 wakati hela hiyo ingeweza kabisa kununua Samsung "nzuri" tu. Unalisemeaje na hilo?ukinambia si kila mwenye simu ya bei ana hela,ngakuelewa lakini si kinyume chake.
uchumi,uchumi,uchumi baba.
hakuna asiyependa kizuri tuna mambo mengi na hela haitoshi.
tunafanya kuelimishana tu.Tuheshimu vionjo vya watu, si kulazimisha kila mtu awe na vionjo sawa na sisi! Mfano mimi, sina mzuka kabis na Samsung pamoja na jina lake kubwa. Nimenunua infinix ya laki 5 wakati hela hiyo ingeweza kabisa kununua Samsung nzuri tu. Unalisemeaje na hilo?
Ubora wa picha ni nini?Usitishike na wingi wa megapixels
Wingi wa megapixels sio ubora wa picha
Pole sana. Ukiwa maskini unaamini vitu ndo vinakupa thaman. Nimeanza kutumia simu ukiwa mdogo au hujazaliwa. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Samsung. Toka miaka hiyo nmetumia Nokia,Samsung,Blackberry,Alcatel,Sony Ercsson, Huawei ndo simu pekee ya kichina nliyowahi tumia. Right now natumia Samsung. Mkurugenzi kazini kwangu anapokea salary ya tsh Mil 23 kwa mwezi. Anatumia tecno anaendesha Range Rover na Mercedes Benz. Zake na anaendeshwa kwenye V8 na BMW za Kampuni. Anatumia tecno mimi natumia Samsung naendesha gari za Mjapan. Ni mawazo ya kimaskini tu yanatufanya tuamini katika vitu flani. Yeye CEO simu kwake si kipaumbele.wacha story mingi bana,ukiona una uhitaji wa smartphone halafu mawazo yakakupeleka kwenye tecno au infinix ni uchumi ndio umesababisha.
jalafu ni mambo ya kawaida kununua kitu cha chini sababu za kiuchumi,sioni sababu ya kutolea maamuzi,huipendi tecno ni maisha tu.