Amkeni buana tujadiliane...

Tumbo hili linalosumbua ndugu wetu wengi kwenye siasa!!?
Umeona kaka siasa ya africa hakuna aliye na uchungu na wanachi kila mtu anaiangalia familia yake itaishi vip vizuri hiyo yote ni tumbo linasumbua

sent from toyota Allex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…