Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Tumbo halafu pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hata Cjui....ila huwa nahangaika na mademu kwanza...ile kwenye hilo lako sijaona umetaja demu...shame on you kwa ubinafsi..
Kweli bro mm mwenyewe nilkuwa nnawaza ivo ila sasa watu wanakataaTumbo lisipopeleka taarifa akilini sahau neno pesa,mjini tunasema unalelewa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua bana kusingekuepo na njaa. Tusingekuwa na hali ya utafutaji kabisaMm pia ni mkata mtaa wa kawaida yaan siku nimepiga dili la kuweza kupata shilingi ya huakika naweza futa siku no njaa,sasa ngoja siku sijaona sent saa nne asubuhi ni mbali majamaa yashaanza kufyatua tumbon
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutegemeana sijakataa lakini kuna kimoja kinacho sababisha kingine kiwepoVinategemeana
Ushawah ona mtu anakufa kisa hana pesa..? Au mtu anakufa kisa kkakosa chakula
Hii kitu sina ham nayo aisee, imenikomeshaa..
Kwa kosa gan bro [emoji23][emoji23]Kwamimi ni pesa ili nikipata nikamtolehe dhamana # Riki boy mwanangu
Wazee wa tunda kimasihara
Ukilewa kupitiliza siku zote lazima kuzingua.
Umeona kaka siasa ya africa hakuna aliye na uchungu na wanachi kila mtu anaiangalia familia yake itaishi vip vizuri hiyo yote ni tumbo linasumbuaTumbo hili linalosumbua ndugu wetu wengi kwenye siasa!!?
Uhai ndo spana ya maishaHivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa inafanya watu wanatoa tako mjini na kuwa kama vinyongaHivi wadau wa JF katika maisha kitu cha kwanza kuangaikia ni tumbo au pesa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo umesema kweli maana maidha ya saiv ni ujanja tuUmeona kaka siasa ya africa hakuna aliye na uchungu na wanachi kila mtu anaiangalia familia yake itaishi vip vizuri hiyo yote ni tumbo linasumbua
sent from toyota Allex
I miss you my lady. Unfortunately PM yako haiko hewani.