John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Sema Kama anakula malimao au ndimu.Anavyokaza uso akiongea utadhani anakula nyanya chungu 🥺🥺🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Kama anakula malimao au ndimu.Anavyokaza uso akiongea utadhani anakula nyanya chungu 🥺🥺🥺
Mbona hapa wapo dukani wanaigiza? Polisi hawawezi kuhoji kijinga hivyo, itakuwa machinga wanafanya drama!Wizi wa watoto wadogo mitaani katika jiji View attachment 3051587la Dar-es-salaam
Hawa ambao hawakubahatika kupata watoto kwa nini hawaendi vituo vya watoto yatima wachukua watoto wakawaasili? Kwa nini waibe?