J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Jul 25, 2024 #21 Ileje said: Anavyokaza uso akiongea utadhani anakula nyanya chungu 🥺🥺🥺 Click to expand... Sema Kama anakula malimao au ndimu.
Ileje said: Anavyokaza uso akiongea utadhani anakula nyanya chungu 🥺🥺🥺 Click to expand... Sema Kama anakula malimao au ndimu.
I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Jul 25, 2024 #22 Mkono Mmoja said: Wizi wa watoto wadogo mitaani katika jiji View attachment 3051587la Dar-es-salaam Click to expand... Mbona hapa wapo dukani wanaigiza? Polisi hawawezi kuhoji kijinga hivyo, itakuwa machinga wanafanya drama!
Mkono Mmoja said: Wizi wa watoto wadogo mitaani katika jiji View attachment 3051587la Dar-es-salaam Click to expand... Mbona hapa wapo dukani wanaigiza? Polisi hawawezi kuhoji kijinga hivyo, itakuwa machinga wanafanya drama!
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 2,223 Reaction score 3,961 Jul 25, 2024 #23 raslimali said: Hawa ambao hawakubahatika kupata watoto kwa nini hawaendi vituo vya watoto yatima wachukua watoto wakawaasili? Kwa nini waibe? Click to expand... Wizi ndo chaguo lao
raslimali said: Hawa ambao hawakubahatika kupata watoto kwa nini hawaendi vituo vya watoto yatima wachukua watoto wakawaasili? Kwa nini waibe? Click to expand... Wizi ndo chaguo lao
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jul 25, 2024 #24 Dunia ya watu ambao hawajali chochote linapokuwepo jambo lao,ni dunia ya kuwa makini sana.