Amkeni, wamefungua mtandao wa internet

Amkeni, wamefungua mtandao wa internet

images (12).jpeg
 
Wamebanaaa weeee hatimaye wameachia,walipatwa hofu bure, kusingetokea walichokifikiria.
 
Ila natumia tigo kwa voda com mambo yapo vizuri tu
 
Kweli mkuu wameachia sasa hivi
Shukrani sana kwa taarifa
NB:information is power
 
Jamaa wamezingua sana kuachia mitandao,ilitakiwa wafungie mitandao hata kwa miaka 5 mpk malaika mkuu ashuke aje kuifungulia mwenyewe.
 
Huku wakawa wananiambia nijisajili upya nikasusa kumbe walikuwa sijui wananichimba chimba nini !
 
jaman naombeni mwenye link ya JF app anisaidie mana hii web version inazingua kabisa yaaan not user frend at all. nmeingia playstore hakuna jf app...nkaingia chrome nkakutana na hawa wanajiita pureapk.com nao miyeyusho tyu jaman naombeni mwenye link nayoweza kudanlod JF APP anifanyie wepesi
 
Back
Top Bottom