Amkeni, wamefungua mtandao wa internet

Amkeni, wamefungua mtandao wa internet

jaman naombeni mwenye link ya JF app anisaidie mana hii web version inazingua kabisa yaaan not user frend at all. nmeingia playstore hakuna jf app...nkaingia chrome nkakutana na hawa wanajiita pureapk.com nao miyeyusho tyu jaman naombeni mwenye link nayoweza kudanlod JF APP anifanyie wepesi


Nime extract toka kwa simu yangu
 
Tuishukuru serikali ya awamu ya tano na chama chetu pendwa
 
Daah biashara yangu ya ku install vpn kuwapiga maboya itaaribika bora waendelee kuizima
 
Back
Top Bottom