Amnesty International: Kenya, Tanzania Miongoni Mwa Wakandamizaji Wapinzani

Ukiamini sana ya magazetini ndio haya yanakukuta, huwezi kuthibitisha kama serikali ina husika na maovu yoyote. Serikili imejichimbia kwenye taasisi nyingi na hakuna mwanachi yoyote anaweza kushindana na serikali hata kama ni mwanachi wa nchi zilizo endela. Silaha kubwa aliyonayo mwanachi kuilinda na makucha ya serikali, ni sheria. Na sidhani kama sheria za Kenya zinatofauti mkubwa sana na sheria zilizo Tanzania. Na ndio maana nikasema unayoyasema hapa kwamba siasa ya Kenya iko juu zaidi ya Tanzania mimi hilo silioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…