Amnesty International: Tanzania must immediately launch independent, impartial and thorough investigations into all allegations of killings

Amnesty International: Tanzania must immediately launch independent, impartial and thorough investigations into all allegations of killings

Habari zote mnapikiwa na wapinzani, alafu mnajifanya wasafi!

Mbona polisi alliyenyanganywa slaha na kuuawa Pemba mko kimyaa? Au yeye siyo binadamu?

Njama zenu za kuwaweka vibaraka wenu madarakani zimegoma,.
 
Ninaposema kuna watu hawachomoki ICC Safari hii huwa namaanisha!

Lazima tuchore mstari kuwa udhalimu haulipi mwaka huu. Na bado!

Ushahidi wote wa waliyoyafanya mwaka huu wanao!!
Hakuna kitu hapo,vibaraka mnahangaika!
Hakuna machafuko wala vita wala mauaji, mnahangaika kuutengeneza move tu
Na mtafeli tu
 
As indigenous of this fork we have something to do with such unlawfull deeds before humanity organs to to vocal on this... i declare my interest as a non member of any political party....
 
Kiongozi au office inatakiwa kuwa makini sana na matamko au maelekezo inayotoa. Sijui kama wanajua hasara ya kutoa matamko yasiyotekelezeka
 
Sioni sababu ya kuwatunishia wazungu msuli kwani wamekuwa washirika wakubwa wa maendeleo tokea baada ya ukoloni na baada ya kujenga chumi imara duniani kulikochagizwa na mapinduzi ya viwanda na maendeleo katika sayansi na teknolojia.

Kinachotakiwa ni kujibu hoja wanazotoa kuhusiana na zoezi zima la uchaguzi vinginevyo tujiandae kuwa sanctioned. Kama Iran inaweza kutishiwa na Marekani kwamba inaweza kuwa obliterated kwenye uso wa dunia kutokana na vikwazo vya kiuchumi si jambo la mchezo.
 
Tanzania ni nchi huru!
Kweli huru na wananchi wanataka Uhuru wa Nani awe rais,mbunge,diwani wao.
Kama tumeamua kuchagua usituibie maamuzi yetu.na Kisha kutupiga na kuua.hapo Uhuru wako mabeberu wanaodai hela zao za covid 19 .watatuingilia.
 
Back
Top Bottom