It is your choice! Isiwe lazima. Msijekulalamika kuwa mnabaguliwa mkikataliwa kwenda nchi za wenzenu.!
Hilo linajulikana na sharti litokee kupitia maandiko matakatifu Ufunuo (Revelation) 13:18 huo ni mchakato wa mpinga Kristo au Masih Dajjal
Mfumo kwamba mtu hataruhusiwa kusafiri kwa sababu hajachwa chanjo ya korona ni upenyo walioubuni watekelezaji ila msimamizi bado hajapatikana bado na atapitia kwenye bunge la Ulaya ndio maana mpaka sasa kiti namba 666 hakina mwakilishi tangu wazindue bunge hilo. Bunge la Ulaya lina jumla ya viti 679, lakini kiti namba hiyo 666 pekee ndio hakijapata mtu anayestahili kukikalia na harakati za magonjwa ya kutengeza, migogoro ya kisiasa kwa kisingizio cha demokrasia na haki za binadamu ndio uchochoro unaotumika kufanikisha maandalizi ya kumpata kiongozi ambaye atakuwa anatenda maajabu ("....Kisha nikaona farasi wekendu wenye vichwa saba na pembe kumi....")
Kwa sasa vitu vyote ambavyo utavikuta vinathaminiwa na dunia ya kwanza yaani Ulaya na Marekani huwa vina nambari ya msimbo (Barcode) kuonesha kwamba wenye dhamana ya maandalizi hayo wamevihakiki na kuviidhinisha kwa matumizi kwa kuwa ni sehemu yao. Nambari ya msimbo inawakilisha kwamba tayari watu wote wamefichwa utawala wao kupitia usanii na sayansi
Vitu vifuatavyo vinawakilisha namba 666 yaani lazima upokee maagizo na kutekeleza ili kuwa na uhalali wa ushiriki wa jambo wanalolishiriki pia
1. Herufi hizi tatu w.w.w (world wide web) Kigiriki w=6 hivyo w sita zinawakilisha 666 ( χξϛ) which implies χ represents 600, ξ represents 60 and ϛ represents 6
Digamma, waw, or wau (uppercase: Ϝ, lowercase: ϝ, numeral: ϛ) is an archaic letter of the
Greek alphabet. It originally stood for the sound /
w/ but it has remained in use principally as a
Greek numeral for 6.
(αʹ. βʹ. γʹ. δʹ. εʹ. ϛʹ. ζʹ. ηʹ. θʹ.)
2. Neno Heineken linawakilisha 666
3. Sarafu ya Euro 1 inawakilisha namba 666 ikiwa na nyota sita juu, nyota sita chini na mistari sita ikiziunganisha nyota za juu na chini
4. Nambari ya msimbo inayoonekana kwenye bidhaa zote zenye TBS zinawakilisha namba 666
In mathematics the number 666 deduce significant amazing technicality architect of the universe, just check out hereunder
666 is the sum of the first 36
natural numbers ({\displaystyle \sum _{i=1}^{36}i}
, i.e. 1 + 2 + 3 + ... + 34 + 35 + 36 = 666), and thus it is a
triangular number. Because 36 is also triangular, 666 is a
doubly triangular number. Also, 36 = 15 + 21; 15 and 21 are also triangular numbers, and 152 + 212 = 225 + 441 = 666.
In
base 10, 666 is a
repdigit (and therefore a
palindromic number) and a
Smith number. A
prime reciprocal magic square based on 1/149 in base 10 has a magic total of 666.
The prime factorization of 666 is 2 • 32 • 37. Also, 666 is the sum of the squares of the first seven primes: {\displaystyle 2^{2}+3^{2}+5^{2}+7^{2}+11^{2}+13^{2}+17^{2}}
The number of integers which are
relatively prime to 666 is 6•6•6 and the number of
twin primes less than {\displaystyle 6^{6}}
+ 666 is 666.
[4]
Therefore, the number as it describes of itselft is triangular representing three pillars of state governments ie executive, legistative and judiciary to accomplish its effective and meaningful functions that array the mission to the planned destination
The
Roman numeral for 666, DCLXVI, has exactly one occurrence of all symbols whose value is less than 1000 in decreasing order (D = 500, C = 100, L = 50, X = 10, V = 5, I = 1).
Kwa ujumla namba hiyo inatoa mstakbari wa nini binadamu afanye, kwanini na kwa kiwango gani kutambulika na dunia popote, yahayo ni magumu zaidi kuyaona, kuyasikia, kuyakubali, kuyatekeleza na kuyaamini pasipo ridhaa kunusuru uhai wa muda.