Amnesty International yaitaka Tanzania ifute mashtaka dhidi ya Idris Sultan

Amnesty International yaitaka Tanzania ifute mashtaka dhidi ya Idris Sultan

Hao mabeberu tu, mbona hawakumtetea Deo Kisandu, the Don..
 
Nami nashangaa, tena alituchekesha sana ktk ile picha, na arudie kuiangalia aone, naamini ata jaji sijui hakimu wote walicheka yena sama tu, hasa ile suti ya mkuu ilichekesha
Kama hajui kuchekesha mbona alicheka.
 
Hivi Idris na Kingwendu ukisema nani maarufu mmh?
 
Huyo Muchena aende akawasaidie wakenya wenzake waliobamizwa na polisi jana huko Nairobi kufuatia maandamano ya saba saba.
 
TANZANIA NI TAIFA HURU AMNESTY INTERNATIONAL HAWANA MORAL AU LEGAL AUTHORITY KWA NAMBA YOYOTE "KUITAKA " TANZANIA KUFANYA LOLOTE SIO TU HILI LA IDRIS ...
 
Back
Top Bottom