Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach.
Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na mabanda ya hovyo jambo lililopelekea kupoteza mvuto! Kwa maboresho yaliyofanyika kwa kujenga mabanda ya kisasa kusema kweli mnastahili pongezi na hongera zetu sisi wananchi tuliokuwa tukilalamika hapo awali!
Ila Kuna jambo moja nataka kuwaambia leo.
Je, Hamuwezi kupaweka Coco beach kuwa kama Forodhani Zanzibar? Yaaani kwa kujenga paving blocks sehemu za kuegeshea magari na watu kukaa?
Kwa sasa mvua ikinyesha eneo la coco beach linakuwa chafu kutokana na Udo go mwekundu unaoleta matope na karaha kwa watu wanaoenda kura raha maeneo yale.
Sasa hamuoni kuwa ni vizuri kuendelea kuliboresha na kuliongezea thamani lile eneo kwa kujenga paving blocks eneo la juu linalopakana na barabara kwa ajiri ya kutengeneza sehemu nzuri kwa watu kukaa na kupaki magari yao Kama ilivyo kwa Forodhani Zanzibar?
Lord denning nikiwa Coco Beach!