JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa Kata, Madiwani na Wabunge wa Wilaya ya Kinondoni.
Makalla amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi na kuongeza kuwa kama wapinzani hao watabaki na msimamo wao katika Uchaguzi wa 2025 inamaanisha baada ya hapo chama hakitakuwepo.
Video: Global TV