Kwani Kuna hoja mle dada'angu au, km kawaida yenu, hayo ndo maneno yenu ya Kila siku?!!!Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Kama kusoma hujui unadhani utaelewajeKwani Kuna hoja mle dada'angu au, km kawaida yenu, hayo ndo maneno yenu ya Kila siku?!!!
🤣🤣🤣🤣Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Au anajua kinachoendeleaMakalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Okaaay, sawa. Endelea kushangilia kwa 'ushindi' wenu🤭🤭🤭🤭 huu mnono dada'angu.Kama kusoma hujui unadhani utaelewaje
Na pia hana mamlaka yoyote ya kuamua jambo lolote. Ni ''zoba'' linalofuata mkumbo na maagizo tu.Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Oya ni hatari afu tatizo ni kwamba watu hawaja isoma ile barua wanacho shangilia ni kusikia kajiuzuru niaibu🤣🤣🤣🤣
Chadema wote wamekuja mbio kushangilia na mathreads kibaaaao ya kumpongeza pokepole.........Raha thana aiseee!!!
Na pia hana busara, hekima wala uadilifu wa kujibu hizo hoja!Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
😀😀😀😀😀Wanatuona wananchi km matako yaooooUnamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Samia siyo mmiliki wa chama, hilo lisahihishwe. Kuna namna fasihi ilikupita kushoto ukakimbilia somo la historyUnamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi