Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Huyo ni Mr. Mpox???Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Huyo ni Mr. Mpox???Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Kati ya watu ambao huwa nawaona wana viashiria vya matatizo ya ufahamu ni huyo makalaKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye kuthibitisha uhalali wake
Makalla ameyasema hayo leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma baada ya kuulizwa kuhusu barua inayosambaa mtandaoni ya Polepole.
Soma Pia: Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, Asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Amesema endapo atathibitisha kama ni ya kwake maudhui ni ya kwake ni utashi wake lakini ambalo limemfurahisha ni kwamba amemalizia kwa kusema atabaki kuwa mwanachama muadilifu wa CCM
CPAMakalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Kichwa km bumundaTANGU NIMEZALIWA SIJAWAHI KUONA MTU MWENYE MUONEKANO KAMA WA MAKALLA AKAWA NA AKILI TIMAMU, FATILIENI WATU WENYE VICHWA VYA MVIRINGO HUWA NI WEUPE KICHWANI
Hata Mwashambwa kabubujikwa na machoziKwa kujibu!🤣🤣🤣🤣
Chadema wote wamekuja mbio kushangilia na mathreads kibaaaao ya kumpongeza pokepole.........Raha thana aiseee!!!
Ccm chawa woteee wakimsimanga polepole🤣🤣🤣🤣
Chadema wote wamekuja mbio kushangilia na mathreads kibaaaao ya kumpongeza pokepole.........Raha thana aiseee!!!
Mbona wamempuuza tu, ni chadema wanamzungumzia. Huyo ccm ni katoto kadogoooooo kasicho na madhara yeyote.Ccm chawa woteee wakimsimanga polepole
Kajihudhuru cheo na kujivua hadhi ya ubalozi mwenyeweBado hawajamvua hadhi ya ubalozi hadi sasa?
Hivi hiyo nafasi ndani ya CCM huwa wanatengewa watu maalum; maana sijawahi kuona mtu mwenye akili sawasawa kashikilia nafasi hiyo!Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Mara zote ni nafasi ambayo anapewa mtu anayeweza kutumikishwa kama mtumwaHivi hiyo nafasi ndani ya CCM huwa wanatengewa watu maalum; maana sijawahi kuona mtu mwenye akili sawasawa kashikilia nafasi hiyo!
Lakini inawezekana ni nafasi yenyewe ndiyo yenye matatizo; huyu Makala huko nyuma nilidhani kuna kitu cha maana kichwani kwake.
Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Hapo sasa, uone upuuzi wa vyeo vya namna ile!Na pia hana mamlaka yoyote ya kuamua jambo lolote. Ni ''zoba'' linalofuata mkumbo na maagizo tu.
Shingo yako inateseka!Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipu
Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".
kilicho kuponza ni kuongeza neno mmiliki ndio maana umeutesa ubongo wakoTatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".
Wewe unao ufunguo wa kwenye ubongo wangu umechungulia na kuona nimeutesa?kilicho kuponza ni kuongeza neno mmiliki ndio maana umeutesa ubongo wako