Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

🙏
 
hawa wapo pamoja wanataka kututoa kwenye reli. mark my words.
 
Oya ni hatari afu tatizo ni kwamba watu hawaja isoma ile barua wanacho shangilia ni kusikia kajiuzuru niaibu
🤣🤣🤣
Sasa hivi woooote (yakiwemo Yale mathink tanks yao humu) wamegeukia kwa polepole wakimsifu na kumuabudu (kwa hisia kwamba amemuweza Samia 🤣🤣🤣). Hata ukimfuata mwanachadema ukasema, 'no reform.....' si ajabu akaitikia, ' no polepole!'.

Yetu macho...
 
Oyaaa😂😂😂😂
 

Tatizo lako unaiwaza CHADEMA kila saa.
 
Kwenye zile medani za kwa akina GENTAMYCINE (jitu la TEETH), hiyo wanaiitaga CONTROLLED OPPOSITION au CONTROLLED DISSENT / MAIGIZO.

The modus operandi is always more than apparent. It uses the same procedure and the same guidebook.

1995 ulikuwa wakati wa mrema kutuchezesha sebene, mwaka 2000 na 2005 akawekwa makengeza, mwaka 2010 akawekwa dokta mihogo ambaye baadaye akawa balozi, mwaka 2015 akawekwa fisadi luwasa kutujambia majukwaani, mwaka 2020 akawekwa Kaka mjela jela, mwaka huu polepole, gwajima na magwajima.

Mwaka 2030 tutakwenda na Nyani Ngabu

Cc: johnthebaptist
 
TANGU NIMEZALIWA SIJAWAHI KUONA MTU MWENYE MUONEKANO KAMA WA MAKALLA AKAWA NA AKILI TIMAMU, FATILIENI WATU WENYE VICHWA VYA MVIRINGO HUWA NI WEUPE KICHWANI
 
Mi naona polepole atamuaharibia mama yaani wasipomdhibiti atawavua sisiemu nguo
 
Hilo ponjoro haliwezi kujibu hoja yoyote hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…