Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

 
Kinachofuata ni kufutwa uanachama
 
Koma Wewe Mimi siko TISS na kamwe sitokuja kuwa TISS na sijui kwanini kila post zako za Kinafiki juu yangu huwa unanihusisha nao TISS utadhani Kazi ya maana kuifanya Tanzania au Duniani ni kuwa mwana Usalama wa Taifa. Unakera na badilika tafadhali.
 
Nadhani anaona aibu! ITV taarifa ya kwanza saa 2 usiku huu,Polepole amethibitisha kuwa ni kweli amejiuzuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…