Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

Kati ya watu ambao huwa nawaona wana viashiria vya matatizo ya ufahamu ni huyo makala
 
Kabla kampeni hazijaanza, hatokalia hicho kiti cha uenezi
 
Makalla hana uwezo wala akili ya kujibu hoja za Polepole
Hivi hiyo nafasi ndani ya CCM huwa wanatengewa watu maalum; maana sijawahi kuona mtu mwenye akili sawasawa kashikilia nafasi hiyo!
Lakini inawezekana ni nafasi yenyewe ndiyo yenye matatizo; huyu Makala huko nyuma nilidhani kuna kitu cha maana kichwani kwake.
 
Mara zote ni nafasi ambayo anapewa mtu anayeweza kutumikishwa kama mtumwa
 
Unamkataa mwenye nyumba ni mchawi lakini bado unaahidi kuishi kwenye nyumba ya mchawi kwa uaminifu hii nchi ina wacheza drama za kipumbavu wengi
Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".
 
Na pia hana mamlaka yoyote ya kuamua jambo lolote. Ni ''zoba'' linalofuata mkumbo na maagizo tu.
Hapo sasa, uone upuuzi wa vyeo vya namna ile!
Huyu hana lolote analoweza kulizungumzia, yeye kama kiongozi ndani ya chama; yeye ni kipaza sauti tu!
 
CPA Makalla,
Kubalini kutumia watu wa chini ili kuwapa ushauri - mnaenda kubaya kidogo
 
Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipu

Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".

Tatizo lako ni kufikiri CCM ni mali ya Samia; jambo linalokufanya wewe ndiye uwe "mcheza drama za kipumbavu".
kilicho kuponza ni kuongeza neno mmiliki ndio maana umeutesa ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…