Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tumekupata kiongozi, CCM ingekuwa inajiweka ingekuwa inahangaikia na matatizo ya wananchi kutumia mbinu mbalix2 usk na mchana? CCM ni chama makini, nyenyekevu kwa watanzania kinacholinda tunu za Taifa letu. Viva CCM VIVA.Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Ni kweli CCM inawekwa na chawa na uchakachuaji. Ni uongo Watanzania hawaiweki madarakani. Wanataka na kutamani iende zake kama kanu na upc tena haraka. AminaKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Ndio hawa hapa. Na nyingine zikanakuja, tunaendelea kuzikusanyaKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Ni wakati wa NBAA kuchukua CPA yao kutoka kwa huyu jamasKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
ukweli mtupu mchana kweupe 🐒Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Je maporini huwa wanaenda kufanya nini mkuu wa wilaya alitufumbua machoKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
View attachment 3306691
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3306693
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Sisi tulioshuhudia Yale ya 2019,2020 na 2024 nasema Kwa hakika ya moyo wangu CCM inajichagua haichaguliwi na wananchiKatibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Na chama hicho kipo Kwa mujibu wa sheria na Katiba na kwamba lazima kishiriki ili kuwapa wananchi haki ya kuchagua.Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM. Wanasahau sisi hatujiweki madarakani, tunawekwa na Watanzania kupitia sanduku la kura kwa kazi tunazofanya."
Ameongeza kuwa: "Kama kuna mtu ana sera au ilani bora kuliko ya CCM, aje tulinganishe. Wananchi wataamua."
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu hautasimama kwa sababu ya chama kimoja kutoshiriki na kwamba upo kwa mujibu wa sheria. "Uchaguzi upo kwa mujibu wa Katiba, si kwa ridhaa ya chama fulani."
Katika mkutano huo, Kapteni George Mkuchika amesisitiza nia yake ya kutogombea tena ubunge katika Jimbo la Newala, huku Nape Nnauye akimsifu kama kiongozi wa mfano. "Ukijua mlango wa kuingia, tafuta wa kutoka kabla hawajakutoa," amesema Nape.
Hao mapolisi na walimu ni sehemu ya wananchi.Wangekua hawako upande wa ccm wasingefanya hivyo.Ni jukuumu la vyama pinzani kuwabadilisha hao mapolisi na walimu fikra ili badaala yakuisaidia ccm wavisaidie vyenyewe.Kama hawafanyi hivyo huo wimbo wakusema wananchi wamewakataa ccm inabidi ubadilike.UONGO..mnawekwa na Waalimu & Mapolisi wenye vibegi