Unapata picha watu wanaokata viungo vya albino, wanaoteka watu na kupeleka kafara kwa waganga ni wanao-ongoza ni wanasiasa na baadhi ya matajiri waliofanikiwa.
Kwa maneno ya JKN ‘ukishazoea kula nyama ya mtu kamwe hutoacha’.
Hakuna logic ya kuuana kwenye siasa zaidi ya kuchafuana tu na wahusika wameshazoea kutoa kafara za watu.
Hakuna ujinga usio na madhara, ndio maana watu walikuwa wakimuonya Samia acha kuchochea propaganda za Magufuli alikuwa muuaji.
So sad yaani watu wapoteze maisha kwa sababu ya uchaguzi tu, tena hata sio kwa siasa chuki kweli ni kwa malengo ya kuchafuana tu; so sad.