LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Cha kusikitisha ni Kwamba Hawa wanasiasa naona wanaanza kuwabagua Watanzania/watu kwa itikadi za kisiasa... waliokufa /kuuawa ni Watanzania, itikadi sio hoja kwa sasa...Inasikitisha sana hizi Groupings wanazozifanya viongozi wa kisiasa...Polisi na Mahakama waangalie kwa jicho la kina kwa haya yanayoendelea..itafika wakati watu waanze kusema waliouawa ni kabila lao...na hapo itakua shida sana kwa utengamano wa Taifa...No one should die because of their affiliations.. SIMPLE.
Bahati mbaya hatuna polisi wala mahakama tuna makada wa CCM pekee, acha tupambane nao hata kwa kutumia nguvu za giza
 
Katika nchi ambayo kila KUKICHA Wapiga kura wanapungua wajinga wanashangilia ushindi
Bwana makala aseme uchaguzi ulitarajiwa kuwa na wapiga kura wangapi?
Waliojiandikisha ni wangapi?
Waliopiga kura ni wangapi?
Ukilinganisha uchaguzi huu na uliopita idadi imeongezeka au imepungua
Kwanini?
UMEIBA MITIHANI UNAPATA DIV 1 KISHA UNASHANGILIA? UNAJIDANGANYA KUNA KUNDI KUBWA LA WATU HAWAJAPIGA KURA KWA SABABU YA UJINGA WA CCM
Bonge la swali. Be blessed
 
Back
Top Bottom