Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hili guluguja liongo sana, lakini hizi damu mnazomwaga huku mnafanya kejeli kuwa mumeua sisimizi ndiyo zitawatoeni madarakani, Mungu hadhihakiwi.Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Kwa hiyo anafurahia mauaji? shetani kabisa huyu mzeeLeo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Akina Makalla ndiyo wahusika wakuuUnapata picha watu wanaokata viungo vya albino, wanaoteka watu na kupeleka kafara kwa waganga ni wanao-ongoza ni wanasiasa na baadhi ya matajiri waliofanikiwa.
Kwa maneno ya JKN ‘ukishazoea kula nyama ya mtu kamwe hutoacha’.
Hakuna logic ya kuuana kwenye siasa zaidi ya kuchafuana tu na wahusika wameshazoea kutoa kafara za watu.
Hakuna ujinga usio na madhara, ndio maana watu walikuwa wakimuonya Samia acha kuchochea propaganda za Magufuli alikuwa muuaji.
So sad yaani watu wapoteze maisha kwa sababu ya uchaguzi tu, tena hata sio kwa siasa chuki kweli ni kwa malengo ya kuchafuana tu; so sad.
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Mimi sijui ni hakina nani kwa majina, lakini wahusika wa huu utamaduni mpya washazoea kuchukua maisha ya watu kirahisi kwenye kafara zao wakiamini zinawasaidia kimafanikio.Akina Makalla ndiyo wahusika wakuu
Kwao kura hazina maana. Hawahitaji kura kutimiza ushetani wao.Katika nchi ambayo kila KUKICHA Wapiga kura wanapungua wajinga wanashangilia ushindi
Bwana makala aseme uchaguzi ulitarajiwa kuwa na wapiga kura wangapi?
Waliojiandikisha ni wangapi?
Waliopiga kura ni wangapi?
Ukilinganisha uchaguzi huu na uliopita idadi imeongezeka au imepungua
Kwanini?
UMEIBA MITIHANI UNAPATA DIV 1 KISHA UNASHANGILIA? UNAJIDANGANYA KUNA KUNDI KUBWA LA WATU HAWAJAPIGA KURA KWA SABABU YA UJINGA WA CCM
Hakika, huyu ni miongoni mwa mashetani.Huyu mzee ni mshenzi sn
Balancing the equation🤬🤬🤬Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
CCM ni chukizo hata mbele ya shetaniHakika, huyu ni miongoni mwa mashetani.
Wapumbavu sana hawa. Yaani kwa ufupi ni kwamba ambao hawapigi kura ambao ndo wengi kuliko wanaopiga kura hawaiungi mkono ccm na serikali yake.Kwao kura hazina maana. Hawahitaji kura kutimiza ushetani wao.
Sikujua Pedeshee CPA Amos Makalla baba Gadi ni muongo kiasi hichoLeo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Cha kusikitisha ni Kwamba Hawa wanasiasa naona wanaanza kuwabagua Watanzania/watu kwa itikadi za kisiasa... waliokufa /kuuawa ni Watanzania, itikadi sio hoja kwa sasa...Inasikitisha sana hizi Groupings wanazozifanya viongozi wa kisiasa...Polisi na Mahakama waangalie kwa jicho la kina kwa haya yanayoendelea..itafika wakati watu waanze kusema waliouawa ni kabila lao...na hapo itakua shida sana kwa utengamano wa Taifa...No one should die because of their affiliations.. SIMPLE.Kwa hiyo anafurahia mauaji? shetani kabisa huyu mzee