LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Bahati mbaya hatuna polisi wala mahakama tuna makada wa CCM pekee, acha tupambane nao hata kwa kutumia nguvu za giza
 
Bonge la swali. Be blessed
 
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Harafu wale wa dini wanatetea Machadema ila ushenzi wanaofanya Chadema kwao ni halali,ndio maana nawapuuza πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DC9AI8Ui38A/?igsh=MXUxejFlNXRtdWgweA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…