PreGE2025 Amos Makalla: Chadema mliojiandikisha muda ukifika chagueni CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
1744529982815.png
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema;

"Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono Chama cha Mapinduzi na kumetolewa taarifa, ya vyama vya siasa kusaini makubaliano ya kanuni za uchaguzi, vyama vyote mnavyovijua vimesaini makubaliano hayo maana yake ndivyo vitakavyoshiriki uchaguzi."

"Kwa bahati mbaya, lakini siyo kwa bahati mbaya, ni watu ambao waliamua mwaka huu wapumzike, hao waliokuja hapa walikuwa wamechoka sana, mwaka huu wameamua kupumzika na mimi niliwaambia hawa hawajajiandaa na uchaguzi, hawa wana migogoro na leo imethibitika, hawajaenda kusaini, maana yake hawatashiriki uchaguzi,"

"Chama chako hakitakuwepo, wewe kapigie kura Chama Cha Mapinduzi, kwa hiyo leo ni rasmi kwamba jamaa wamekataa kusaini lakini tuliwatabiria kwamba hawajajiandaa na wanaonekana kuchoka na mtu aliyechoka hutakiwi kumlazimisha aendelee na safari. Mtu anakwambia goti linauma, mtu anakwambia pumzi inakata, hivi utaendelea kumwambia twende?"

"Kwa hiyo, wenzetu wale wamethibitisha leo kwamba hawatakuwa sehemu ya vyama vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu na hata ikitokea uchaguzi mdogo hawatashiriki kwa miaka mitano,"

"Zile mbilinge mbilinge na vichekesho walivyofanya hapa zote ni kazi bure, kwa hiyo hatuwezi kusema kwamba ndiyo timu ambayo imekimbia mechi aah, hawa walishachoka, hawawezi muziki wa Chama Cha Mapinduzi.

"Wao leo wamepoteana na wamethibitika kwa hiyo tutakuwa na vyama vingine lakini hao wengine waliokuja juzi hapa hawapo tena. Na mimi nitoe rai kwa wanachama wa chama hicho kwa sababu hawatashiriki uchaguzi basi wana uhuru wa kupiga kura,"
 
“Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono Chama cha Mapinduzi na kumetolewa taarifa, ya vyama vya siasa kusaini makubaliano ya kanuni za uchaguzi, vyama vyote mnavyovijua vimesaini makubaliano hayo maana yake ndivyo vitakavyoshiriki uchaguzi."

“Kwa bahati mbaya, lakini siyo kwa bahati mbaya, ni watu ambao waliamua mwaka huu wapumzike, hao waliokuja hapa walikuwa wamechoka sana, mwaka huu wameamua kupumzika na mimi niliwaambia hawa hawajajiandaa na uchaguzi, hawa wana migogoro na leo imethibitika, hawajaenda kusaini, maana yake hawatashiriki uchaguzi,”

“Chama chako hakitakuwepo, wewe kapigie kura Chama Cha Mapinduzi, kwa hiyo leo ni rasmi kwamba jamaa wamekataa kusaini lakini tuliwatabiria kwamba hawajajiandaa na wanaonekana kuchoka na mtu aliyechoka hutakiwi kumlazimisha aendelee na safari. Mtu anakwambia goti linauma, mtu anakwambia pumzi inakata, hivi utaendelea kumwambia twende?”

“Kwa hiyo, wenzetu wale wamethibitisha leo kwamba hawatakuwa sehemu ya vyama vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu na hata ikitokea uchaguzi mdogo hawatashiriki kwa miaka mitano,”

“Wao leo wamepoteana na wamethibitika kwa hiyo tutakuwa na vyama vingine lakini hao wengine waliokuja juzi hapa hawapo tena. Na mimi nitoe rai kwa wanachama wa chama hicho kwa sababu hawatashiriki uchaguzi basi wana uhuru wa kupiga kura,” amesema Katibu wa Itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Ndugu Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
 
Attachments

  • IMG-20250413-WA0051.jpg
    IMG-20250413-WA0051.jpg
    131.4 KB · Views: 29

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Kwangu mimi msimu wa uchaguzi mi kama festival season, kwenye kampeni ntaenda, na kura ninapiga
 
Makalla anafanya siasa siyo uharakati
 
Hivi yule mpumbavu mna uhakika alisoma hata shule ya msingi ya kweli 🤔 kwa sababu kila akifungua mdomo kuongea ni uhalo ushuzi mtupu🤔 wanao msikiliza wange muomba kwanza awape uthibitisho wa madai yake ya mpox kabla ya kuendelea kuongea uhalo wake 🗑🗑
 
Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM, Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi katika Uwanja wa Maulid ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Lindi na Mtwara, amesema;

"Mko tayari kwa uchaguzi...Niwaombe muda utakapofika mkiunge mkono Chama cha Mapinduzi na kumetolewa taarifa, ya vyama vya siasa kusaini makubaliano ya kanuni za uchaguzi, vyama vyote mnavyovijua vimesaini makubaliano hayo maana yake ndivyo vitakavyoshiriki uchaguzi."

"Kwa bahati mbaya, lakini siyo kwa bahati mbaya, ni watu ambao waliamua mwaka huu wapumzike, hao waliokuja hapa walikuwa wamechoka sana, mwaka huu wameamua kupumzika na mimi niliwaambia hawa hawajajiandaa na uchaguzi, hawa wana migogoro na leo imethibitika, hawajaenda kusaini, maana yake hawatashiriki uchaguzi,"

"Chama chako hakitakuwepo, wewe kapigie kura Chama Cha Mapinduzi, kwa hiyo leo ni rasmi kwamba jamaa wamekataa kusaini lakini tuliwatabiria kwamba hawajajiandaa na wanaonekana kuchoka na mtu aliyechoka hutakiwi kumlazimisha aendelee na safari. Mtu anakwambia goti linauma, mtu anakwambia pumzi inakata, hivi utaendelea kumwambia twende?"

"Kwa hiyo, wenzetu wale wamethibitisha leo kwamba hawatakuwa sehemu ya vyama vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu na hata ikitokea uchaguzi mdogo hawatashiriki kwa miaka mitano,"

"Zile mbilinge mbilinge na vichekesho walivyofanya hapa zote ni kazi bure, kwa hiyo hatuwezi kusema kwamba ndiyo timu ambayo imekimbia mechi aah, hawa walishachoka, hawawezi muziki wa Chama Cha Mapinduzi.

"Wao leo wamepoteana na wamethibitika kwa hiyo tutakuwa na vyama vingine lakini hao wengine waliokuja juzi hapa hawapo tena. Na mimi nitoe rai kwa wanachama wa chama hicho kwa sababu hawatashiriki uchaguzi basi wana uhuru wa kupiga kura,"
Makala namlingansha na shetani Luciferi ambaye alikuwa hana huruma hata kidogo
 
Hivi hicho kilemba sio kiashilia cha uvaaji wa magaidi? nimeuliza swali.
Jibu liwe ndio au hapana
 
Huyu hajui Dunia ,yupo yupo tu, nchi ipo tiyari kwenye mkwamo wa kisiasa yeye anaendelea na porojo, Mda mwalim yatawatokea puani
 
Hivi yule mpumbavu mna uhakika alisoma hata shule ya msingi ya kweli 🤔 kwa sababu kila akifungua mdomo kuongea ni uhalo ushuzi mtupu🤔 wanao msikiliza wange muomba kwanza awape uthibitisho wa madai yake ya mpox kabla ya kuendelea kuongea uhalo wake 🗑🗑
alafu utasikia eti ni CPA
 
Back
Top Bottom