Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NO REFORMS, NO ELECTIONKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
Na sisi tunamjibu kilaza bwana mdogo makala kwamba hata kama atasema uchaguzi uko pale pale mara milioni,ss tunamwambia huyu bwana mdogo makala kwamba NO REFORMS NO ELECTION Iko pale pale.Aelewe hivyo muda haugandi.ila asikimbie hilo ndio la msingi maana ss tumechoka sana kuibiwa na tunasema imetosha.Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
Huyu anatia na kuaibisha elimu yake 🤢 🤮Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
Hicho ni kiburiiiKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
No refirm no election
Hafaham umuhimu wa social media in digital erra, na so far chama chake kimeshapoteza hiyo battleKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii.
Makalla ameeleza hayo Juni 8, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro akiendelea na ziara yake ya Kanda ya Kaskazini.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
"Kwahiyo hata yale yanayoendelea kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale tukiweka post weka(comment) haisaidii, uchaguzi hausogezwi utafanyika kama ulivyopangwa."
NO reform no electionHafaham umuhimu wa social media in digital erra, na so far chama chake kimeshapoteza hiyo battle