PreGE2025 Amos Makalla: Hata ungepost Mamilioni ya post 'No Reform, No Election' haisadii, Uchaguzi uko pale pale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dawa inaingia sasa!!
No reform
No election
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kama ni hivyo, mbon ammefunga comment kwenye post zenu!

Fungueni basi tuanze kupost hayo mamilioni ya

#NoReformsNoElection
 

Ni rahisi Sana kutawala miili ya Watu, lakini ni vigumu Sana kutawala mioyo ya Watu.
 
Uchaguzi matumizi mabaya ya pesa? Mngejitangaza tu washindi hizo pesa mkanunulia v 8
 
Jamaa limevimbiwa kodi za wadanganyika
 
👍👍👍 Tunaanza kuelewana taratibu sasa!. Miezi miwili iliyopita si ilitangazwa marufuku ya kuvaa T Shirt yenye kaulimbiu ya #NoreformsNoelection na watu kadhaa wakakamatwa na Polisi kule Songea?.....

Kikowapi sasa CPA Makalla? 🤓
Anguko lolote kuu hutanguliwa na kiburi kilichopitiliza!. Si tumeisha kubaliana kuwa nyie muendelee tu na uchaguzi wenu wa 2025....Kelele za nini tena CPA Makalla?. 😳
 
Uchaguzi upo palepale.Kura yangu kwa CHAUMMA wasiotaka kwenda kupiga kura wakae nyumbani watulize mishono yao
 
Mbona ana hasira sana??
 
Huyu Makalla ni msemaji wa Tume ya uchaguzi au ni nani?

Tumpeleke kwa msajili ma mahakamani atiambie anatoa taarifa za tume kama nani?
 
Njia pekee ya kulinda kura yako ni kukaa nayo
ukipiga ukaitumbukiza kwenye box la kura imekwenda hiyo....
 
No reforms no election. Free Tundu Lissu and all detained human rights activists.
 
Inawatu wapumbavu kupita maelezo hivi hili jinga zee linajuwa linachokisema. Kwa mtu mwenye akili , Amosi anasema hivi hata watanzania wote milion 60 na ushe waseme hataki uchuguzi bila mabaliko ccm hatasikia bali watajichaguwa wenyewe hata kwa kura sufuri . Hicho ni kiburi cha watu wasio kuwa na akili hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…