Pre GE2025 Amos Makalla huna Mamlaka yoyote ya kuzungumzia Masuala ya Tume ya Uchaguzi

Pre GE2025 Amos Makalla huna Mamlaka yoyote ya kuzungumzia Masuala ya Tume ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hujawahi kuwa na Mamlaka hayo, Huna na wala hutokuja kuwa nayo.

Wewe endelea na porojo zinazohusu chama chako tu.

Tumeona tukukumbushe hili mapema kabla hujaendelea kupotosha zaidi.

No Reform No Election
Labda mpaka pale atakapochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume.
 
mwenezi yupo sahihi..sisi tuache kujifariji wakati ukweli tunaujua kwamba hiyo tume na viongozi wake wote mpaka wahesabu kura na watangaza matokeo ni wakwao chama cha kijani na hiyo tume feki inapokea maelekezo toka kwa chama cha kijani hivyo..huyo mwenezi anajua kuna mipango ya pamoja baina yao.
 
Back
Top Bottom