Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tuliposema hana akili mlitushangaaHujawahi kuwa na Mamlaka hayo, Huna na wala hutokuja kuwa nayo.
Wewe endelea na porojo zinazohusu chama chako tu.
Tumeona tukukumbushe hili mapema kabla hujaendelea kupotosha zaidi.
No Reform No Election
Pia soma