Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mgambo wa jiji ndiyo wanapiga pesa kwa sasa.Umetoa maagizo juu ya machinga alafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Ndio maana Leo unasikia MTU anasema Raisi ametoa pesa hizi.....unajiuliza huyu MTU anawaza kwa kutumia nini?Ccm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
Umesema kweli yaani wameshindwa mapema pamoja na mbwembwe kibao.Umetoa maagizo juu ya machinga alafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Pale mtu akiwa mchapa kazi wa kweli anapigwa majungu.Ccm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
Umetoa maagizo juu ya machinga alafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Pale mtu akiwa mchapa kazi wa kweli anapigwa majungu.
Bila uzandiki huwezi kudumu kwenye kazi yako pale
Jamaa ametoa hoja safi wewe unaleta vyama,hivi unafikiri kupiga porojo jukwaani ndio kujua kuongozaCcm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
Lord denning nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 😍🇹🇿👍
Wanashindwa kuwa consistency wakati Mama alishasema Watanzania wanaoweza kufanya izo kazi wanazofanya saivi sio kwamba hawapo! Wapo sana na wanasubiri wapewe ili wazifanye vizuriUmesema kweli yaani wameshindwa mapema pamoja na mbwembwe kibao.
Tatizo wanachotafuta wao ni kiki tu hakuna moyo wa dhati wa kufanya hizo kazi.Wanashindwa kuwa consistency wakati Mama alishasema Watanzania wanaoweza kufanya izo kazi wanazofanya saivi sio kwamba hawapo! Wapo sana na wanasubiri wapewe ili wazifanye vizuri
Kabisa mkuu,Mhe.Makala anawaondoa kistaarabu mnakejeli, Akiwapa SUMA JKT wawaondoe kwa Virungu maeeeeeee Makala Dikteta afukuzwe. Wanadamu Vigeugeu mnooo nyie
True..Watu mnaongea utadhani hiyo kazi ni rahisi. mimi kwa upande wangu nampongeza sana Makala amepambana mno, tatizo lililopo ni unafki wa serikali kwa wakubwa wa wakuu wa mikoa. ni kama wao hawataki kuchafuka wamewaachilia ma RC wapambane wenyewe.
Hata apewe nani hii kazi hataiweza kwa sababu njia zinazotumika ni za muda mfupi za kuzima moto. serekali ingekua kweli na nia wangeanza taratibu kuanzia kwenye sera za kiuchumi, kufufua kilimo nakadhalika