Apo umemaliza kakaTrue..
Watu hawataki kuchafuka..RC anakuwa katikati hajui akifanya hivi atamkera mkubwa wake au la..
Tuna viongozi dhaifu kweli..Hawa wamachinga ilibidi jeshi la polisi litembeze virungu kweli kweli kwa wanaokaidi..na kufanya surveillance ya maana kwenye hayo maeneo..atakayerudi ni kibano..Watz waoga wangetafuta njia nyingine
Mikoani huku nguvu kidogo tu ila Dar lazima itumike nguvu na wakuumia waumie..
Sasa hii kubembeleza inaonyesha tuna viongozi incompetent kina eneo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna siku CCM mmeacha kuleta mambo ya vyama? Umeelewa anachosema?Jamaa ametoa hoja safi wewe unaleta vyama,hivi unafikiri kupiga porojo jukwaani ndio kujua kuongoza
Hakuna Ntu apo Makalla sio msimamiaji ni mtu wa mhenkoUmetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!
Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Humu wengi hawajui hustles zinaendaje. Kama ulishawahi kupitia hizo harakati za kimachinga huwezi kufurahia namba wanavyotimuliwa lazima utaumia tu.Hivi nyie mnao ona wamachinga ni uchafu mmeshauri nn serikali kwa nn tatizo la machinga lipo. ama ndo mnakaa kwa shemeji zenu mnakaa kutukana watu mm nimepitia hii ktk utafutaji leo nimepita pale ferry nikakuta mimbao watu wamebomolewa mabanda yao imeniuma sana harafu unakuta kuna mtu eti anafurahia watu walio kua wanajaribu kupandisha mitaji yao waje wawaajiri nyie wapuuzi furani.
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Mkuu kasimamie ya nyumbani kwako. Mbona unakiherehere sana? Mwana CDM yupi anayeweza kumshauri mwanaccm?Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!
Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Mkuu Mimi nilikuwa die hard wa chadema yawezekana kuliko hata wewe, natokea iliko ngome ya Chadema(tarime) lakini hiyo haikuninyima fursa ya kutazama mambo kwa upana wake.Hivi kuna siku CCM mmeacha kuleta mambo ya vyama? Umeelewa anachosema?
Yani sioni chochote kinachofanyika zaidi ya kuwatia hasara wamachinga, wanawavunjia vibanda vyao alafu hawafuatilii mana ake nini ss, mwishowe wanajenga tena vibanda, leo asubuhi nimekuta apo kariakoo wamejaa, kwenye njia za watembea kwa miguu wamejaza bidhaa zao, yn hovyo hovyo, huyu makala hawezi kazi eti amebuni mbinu ya kuvunja usiku vibanda, wewe serikali unawaogopa raia? Una kila kitu cha kufanya raia wakaelewa kwamba ni makosa kufanya biashara barabarani na ikiwezekana jeshi litumike kuwaondoa kinguvu ili watu wazoee kutoweka biashara kwenye road reserve.Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!
Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Wanaleta siasa na siku ya mwisho watu watazidi kuizarau serikali na kuiona si lolote si chochoteYani sioni chochote kinachofanyika zaidi ya kuwatia hasara wamachinga, wanawavunjia vibanda vyao alafu hawafuatilii mana ake nini ss, mwishowe wanajenga tena vibanda, leo asubuhi nimekuta apo kariakoo wamejaa, kwenye njia za watembea kwa miguu wamejaza bidhaa zao, yn hovyo hovyo, huyu makala hawezi kazi eti amebuni mbinu ya kuvunja usiku vibanda, wewe serikali unawaogopa raia? Una kila kitu cha kufanya raia wakaelewa kwamba ni makosa kufanya biashara barabarani na ikiwezekana jeshi litumike kuwaondoa kinguvu ili watu wazoee kutoweka biashara kwenye road reserve.
Tumejenga masoko makubwa lkn watu hawataki kuyatumia, pale kkoo kwa mfano lile machinga complex kama litajaa wachuuzi mana ake asilimia kubwa ya wachuuzi wataondoka barabarani, lile kisutu market pia likijaa litapunguza hii kero, tatizo Wamachinga hawataki kuamini kwamba sisi wateja ndio tunapaswa tuwafuate wao na co wao kutufuata cc, yn cc wateja na wao machinga tunapaswa tukutane sokoni na co barabarani.
Cha mwisho ni kwamba huyu mkuu wa mkoa hamna kitu na hatoshi kabisa kabisa kwenye hiki cheo cha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, huyu jamaa hana sifa za uongozi, hatoshi hata kwenye cheo cha mjumbe wa nyumba kumi achilia mbali cheo cha mkuu wa wilaya hapa Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi huu huwezi kunishawishi, yaani kama wewe unasema ulikua "die hard" wa Chadema na unasema Leo hakuna kitu Chadema imesaidia wakati Wabunge wanakiri kuwa kutokuepo kwa Chadema bungeni ni pigo, basi ulikua na haki ya kuondoka Chadema!Mkuu Mimi nilikuwa die hard wa chadema yawezekana kuliko hata wewe, natokea iliko ngome ya Chadema(tarime) lakini hiyo haikuninyima fursa ya kutazama mambo kwa upana wake.
Zipo hoja za kuzungumza bila kuingiza siasa. Nway Chadema is a failed opposition party because hakuna chochote walichoisaidia hii nchi tofauti na fujo na matusi.
Bora CCM maendeleo yapo na yanaonekana.
Chadema imebaki kuwa platform ya kuingilia kwenye siasa. Mtanyooka tu.
Ok sawa. Nimekuelewa mkuu. Usijali Tanzania ni yetu site.Kwa uandishi huu huwezi kunishawishi, yaani kama wewe unasema ulikua "die hard" wa Chadema na unasema Leo hakuna kitu Chadema imesaidia wakati Wabunge wanakiri kuwa kutokuepo kwa Chadema bungeni ni pigo, basi ulikua na haki ya kuondoka Chadema!
Pili, Mimi nasimamia kile ninachokiamini siku zote, so far Chadema wanafanya Yale ninayoyaamini kwahio sina tatizo na hio.
Tatu, back to the topic, hakuna kitu nachukia kama kila mjadala kuweka CCM ndio maana nilipost nilichopost! When things are okay mnataka kupewa credit hata msipostahili, mambo yakiwa magumu hamtaki kutajwa! Leo hii ingekua hii topic iko kwa upande positive, sema ukweli wako, ungeacha kuitaja CCM?
Kwahio when things are good, ni CCM lakini hali ikibadilika ooghh tusitaje CCM....basi sawa siku njema
Tatizo sio kuwaondoa polepole,wamachnga walikuwa wameshaondoka.Ila wameanza kurudi na hakuna chochote kinafanyikaMhe.Makala anawaondoa kistaarabu mnakejeli, Akiwapa SUMA JKT wawaondoe kwa Virungu maeeeeeee Makala Dikteta afukuzwe. Wanadamu Vigeugeu mnooo nyie
Achana na Polisi weka vijana wa JKT tuTrue..
Watu hawataki kuchafuka..RC anakuwa katikati hajui akifanya hivi atamkera mkubwa wake au la..
Tuna viongozi dhaifu kweli..Hawa wamachinga ilibidi jeshi la polisi litembeze virungu kweli kweli kwa wanaokaidi..na kufanya surveillance ya maana kwenye hayo maeneo..atakayerudi ni kibano..Watz waoga wangetafuta njia nyingine
Mikoani huku nguvu kidogo tu ila Dar lazima itumike nguvu na wakuumia waumie..
Sasa hii kubembeleza inaonyesha tuna viongozi incompetent kina eneo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ukomavu huu. Tushirikiane kwenye mambo ya msingi. Nasikia Shahidi kaingia na desa Leo kizimbani...dahOk sawa. Nimekuelewa mkuu. Usijali Tanzania ni yetu site.