Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo la siku moja au tatu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Katiba mpya si jambo la mara moja, katiba inahusisha wadau wengi, haki za binadamu, makundi mbalimbali nakadhalika lakini hawa CHADEMA wao wanaangalia uchaguzi tu", ameeleza Makalla.