Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Juzi Mhe Rais wa JMT alitoa takwimu za jiji la Dar es Salaam kushika nafasi ya 6 kwa usafi Afrika ila kiukweli hali sasa imeanza kuwa ndivyo sivyo.
Zile jitihada za mwanzo tulizokuwa tunaziona zilizokuwa zinafanya jiji kuwa safi sasa hivi tunaona zinafifia,
Vibanda vinarudi pembeni ya barabara si Buguruni, si Posta si Mbezi Mwisho na Kimara si Mnazi Mmoja si Mwenge si Ubungo
Hapa sijasema Mbagala ambapo unaonekana ulishindwa kabisa tangu mwanzo!
Je Mhe Rais wa JMT ateue mtu mwingine anayeweza hii kazi?