Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hapana, Makala anafanya mambo yanayoonekana ila mikakati yake haikuwekewa mpango endelevu.Makala ni kama Mwanri mikwara mingi utendaji 0
Hana tofauti na kasufuria wa Simiyu ni watu wa porojo sana utendaji zeroMakala ni kama Mwanri mikwara mingi utendaji 0
Sijui ile mikakati yake na wakuu wake wa wilaya imeishia wapi?Kaka yangu Makala hebu angalia Jiji lako limeanza kuwa chafu sana kwani bidhaa zinapangwa kila mahali!
Kwa mikakati ile nilijua sasa jiji la Dar limepata mtu kumbe wapiHana tofauti na kasufuria wa Simiyu ni watu wa porojo sana utendaji zero
MZEE PUMZI IMEMWISHIA MACHINGA WAMEMZIDI UJANJAJuzi Mhe Rais wa JMT alitoa takwimu za jiji la Dar es Salaam kushika nafasi ya 6 kwa usafi Afrika ila kiukweli hali sasa imeanza kuwa ndivyo sivyo.
Zile jitihada za mwanzo tulizokuwa tunaziona zilizokuwa zinafanya jiji kuwa safi sasa hivi tunaona zinafifia,
Vibanda vinarudi pembeni ya barabara si Buguruni, si Posta si Mbezi Mwisho na Kimara si Mnazi Mmoja si Mwenge si Ubungo
Hapa sijasema Mbagala ambapo unaonekana ulishindwa kabisa tangu mwanzo!
Je Mhe Rais wa JMT ateue mtu mwingine anayeweza hii kazi?
Suala la wamachinga awamu zote wameshindwaMZEE PUMZI IMEMWISHIA MACHINGA WAMEMZIDI UJANJAView attachment 2293066
Umeongea ukweli, lakini mwonee huruma mwenzio ana watoto.Juzi Mhe Rais wa JMT alitoa takwimu za jiji la Dar es Salaam kushika nafasi ya 6 kwa usafi Afrika ila kiukweli hali sasa imeanza kuwa ndivyo sivyo.
Zile jitihada za mwanzo tulizokuwa tunaziona zilizokuwa zinafanya jiji kuwa safi sasa hivi tunaona zinafifia,
Vibanda vinarudi pembeni ya barabara si Buguruni, si Posta si Mbezi Mwisho na Kimara si Mnazi Mmoja si Mwenge si Ubungo
Hapa sijasema Mbagala ambapo unaonekana ulishindwa kabisa tangu mwanzo!
Je Mhe Rais wa JMT ateue mtu mwingine anayeweza hii kazi?
Nguvu ya soda ilikuwa Makalla umeshindaje KAZI ya kuwaondoa wa machinga? Wamerudi kwa Kasi ya ajabu hivi wakuu wa wilaya hamuoni? Jamani watendaji Hebu acheni kulala amkeni mtekeleze wajibu wenu mnatia aibuUmeongea ukweli, lakini mwonee huruma mwenzio ana watoto.
Watakufa njaa!
Ni tapeli tu wala hana loloteKwa mikakati ile nilijua sasa jiji la Dar limepata mtu kumbe wapi