Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao.
Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo ifanyiwe reform, na wakasema "No Reform no Election" lakini ndani ya chama chao wameshindwa kufanya reforms zao wakati walisema watazifanya.
Soma: Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi
Makalla ameeleza hayo leo Machi 5, 2025 wakati akizungumza katika mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, tawi, kata na wilaya katika Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya siku tano katika mkoa huo.
"Unapataje mamlaka ya kuomba reforms na reform hizo zimeshafanyika ndani ya tume katika sheria za uchaguzi wewe mwenyewe hutaki kufanya hata reform kwenye chama chako?" Amehoji Makalla.
Video: TBC Digital