Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

Kisena si bado yupo Mahabusu
 
Ameeleza hayo kama nani kiufundi?Ni afisa habari au mkurugenzi wa vyombo hivyo vya usafiri?Kama si hivyo,kampeni za uchaguzi kalenda imeshatolewa?
 
Mkuu, ni mabasi 750 ya kuanzia. Nadhani sote tunaelewa maana ya sentensi ya; 'Mabasi 750 ya kuanzia'.

Karugendo alisema 750 ya kuanzia, akimaanisha mradi utaanza na 750 kisha yataongezeka baadaye na kuwa zaidi ya 750.

Makala amesema: 'Mabasi 200 ya kuanzia, na wewe ukaongeza kuwa, 750 siyo ya kuanzia ila ni idadi ya kikomo.

Mnafanya hadi nihisi wewe na Makala mnazungumzia mradi tofauti na mradi wa BRT-2 uliozungumziwa na Karugendo.

Ova
 
Taarifa ametoa kama nani? Au kiongozi wa chama cha siasa naye anahusika kwenye mipango ya serikali?
 
πŸ˜„

Ova
 
Ule wa kubinafsisha uliishia wapi,maana sie kujisimamia hatuwezi
 
Uzuri hajasema Disemba ya mwaka gani,possible ni 2025
 
Uongo haunaga consistent
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚DDecember 2024 Imefika
 
wana mbagala vipi mwendo kasi zinaendeleaje na kupiga kazi huko?
 
Walifikiri December ni mbali sana. Wanapaswa kutoa kauli.

Namkumbuka Kadogosa wa TRC Kila mara itaanza..haikuanza.

Namkumbuka waziri wa Nishati kuhusu Bwawa la Nyerere ifikapo.. mpaka tukachoka.

Hii ndio lugha Yao siku zote
 
Uzuri bado December haijaisha ila hatujaona mabasi...wala ajira za madereva au operators wa vituo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…