Amos Makalla: Mabasi ya Mwendokasi yataanza kazi Mbagala Desemba 2024

Emirates yupo wapi? Mheshimiwa Mchengerwa ulituaminisha ataanza kazi September 2024. KAFIULILA naye akaja kutuaminisha nadharia zake za PPP sasa kiko wapi?
 
Usiamini wanasiasa!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usiwe na haraka Disemba hazijaisha bado ziko nyingi zinakuja.
 
Mwanzo halikujulikana hili. Kinyonga ni yule yule atajibadilisha rangi tu.
 
Samahani ni December 2025
 
Maeneo kama haya huwezi kumkuta Lucas mashambwa akielezea au kufafanua na kuimba mapambio ya sifa kama kawaida yake. Kutokana na uchawa wake.
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…