PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe.
Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za serikali za mitaa Vingunguti jijini Dar es Salaam.
Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za serikali za mitaa Vingunguti jijini Dar es Salaam.