Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe.
Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za serikali za mitaa Vingunguti jijini Dar es Salaam.
Katika karne ya 21 mtu anakosea kujaza fomu? Ya wanafunzi wa VETA fomu zote zinajazwa bila kukosea. Siku zikijazwa online si tutabiwa nyengine hazijafika?