Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama, linaloendelea na ujenzi.
Makalla ambaye yuko katika ziara ya siku 10 iliyoanza leo, ikihusisha mikoa ya Lindi na Mtwara, anasema CCM kimejipanga kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu na wana uhakika wataibuka na ushindi wa kishindo.
“Hayo maneno ya ‘No Reforms, No Election’ ni sawa na maneno ya kwenye kanga. Wanajifurahisha wenyewe kama hawatashiriki uchaguzi, watashiriki mwaka 2030.
“Mwaka huu CHADEMA wamepumzika. CHADEMA wameshindwa muziki wa Chama Cha Mapinduzi. CHADEMA wamekimbia na mpira wameshindwa kuingiza timu,” amsema.
Maoni ya wadau

maneno ya makala yanafurahisha sana, sio kwasababu anachoongea ni hoja, ila kwasababu anaongea maneno mepesi yasiyotaka mambo mengi na maswali.
Ni low level, ukizingatia hoja za kuumiza za chadema