Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
ila usinitaje mkuuHallo! Una jicho la tatu sikuwa nimegundua hicho kitu, majina yanaumba ungeandika kabisa Amoshi Makaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila usinitaje mkuuHallo! Una jicho la tatu sikuwa nimegundua hicho kitu, majina yanaumba ungeandika kabisa Amoshi Makaa
Bandeko nangaiHizo toto hazina Dali Kimoko?
✍️ ✍️Kwahiyo tukae chonjo akihamia kwingine tujue moto waja, jamani tunzeni hii kumbukumbu
"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it." - Albert EinsteinLakini baada ya majanga hayo masoko yao yamekaa vizuri
My friend.Hapana makala namfahamu ni mtu mzuri Sana ni coincidence tu.
Amosi amakala apelekea moto masokoKwahiyo hapa magazeti yaandike kwamba. Makalla anatembelea moto harafu ndani waelezee
Fahamu hili...
Je, haya ni makafara ya Amos Makalla?We dare to speak openly. Nisiongee mengi ushahidi ni huu. Kutakuwa na nyota ambayo inaambatana na Amos Makalla. Sehemu nyingi anazokuwepo.
View attachment 1850077
Uchambuzi niliyo kutana nao huko FB wanasema Makalla ni neno la kisukuma lenye maana ya mkaa(kwa kisukuma makala) hivyo yeye anatembea na mkaaAmosi amakala apelekea moto masoko