Amos Makalla una sababu ya msingi ya kuendelea kuwa RC Mkoa wa Dar es Salaam?

Hzo sio kazi TISS. Yaan TISS waache kuhangaika na ishu kubwa za usalama wa nchi wahangaike na panya road. Polis ambao ndio walinzi wa mali na raia wanafanya kazi gani?
 
Hao Panya road hapo Kawe huwa wanawakaba hadi askari wa JWTZ. Siku moja askari wamekabwa kesho yake mchana wakaja askari kama 100 wakawa wanapiga kila MTU wanayemuona mitaa hiyo...yaani jamaa miguvu mingi akili kisoda, utapigaje kila MTU njiani tens mchana!!??
 
Hzo sio kazi TISS. Yaan TISS waache kuhangaika na ishu kubwa za usalama wa nchi wahangaike na panya road. Polis ambao ndio walinzi wa mali na raia wanafanya kazi gani?
Usalama wa nchi maana yake nini? Wenye nchi/wananchi wanakatwa mapanga hapo kuna usalama? Vyombo vya ulinzi na usalama huwa vinashea taarifa.
 
Hzo sio kazi TISS. Yaan TISS waache kuhangaika na ishu kubwa za usalama wa nchi wahangaike na panya road. Polis ambao ndio walinzi wa mali na raia wanafanya kazi gani?

Nchi ni ipi? Ishu kubwa ni zipi katika Nchi?
Dar es salaam sio sehemu ya Nchi?

Utofauti wa Polisi na TISS ni upi linapokuja suala la usalama wa wananchi??
 
Ni hatari sana, kama hao vijana wanaweza kuvamia eneo na kukaa masaa mawili na kuondoka bila bughudha yoyote hakuna haja ya kuwa na polisi, labda kila mtu ajiwekee ulinzi wake.
Police ndio wanawatuma hakuna mwingine
 
Kwahiyo unataka Makalla ndiyo apambane na vibaka kwa mokno wake? Migwmbo si mnao mitaanj kwenu?
 
Kwahiyo unataka Makalla ndiyo apambane na vibaka kwa mokno wake? Migwmbo si mnao mitaanj kwenu?

Akipigwa panga mwanao wa kumzaa tutaona kama utapata nguvu ya kuandika huu utoto hapa
 
Ndio maana unaishi huko uliko kigoma ndani ndani, huna uwezo kuishi hata Manzese
Sasa naanzaje kuishi huko uswazi,Kigoma ndani ndani ni kama Mjini full kipupwe full mtandao full Bata nije kunakonuka kufanya nini huko Dar is big slum?
 
Arudi Makonda uone kama kutakuwa na Panyaroad au Panyamwendokasi!
 
Makonda alimudu kuwaondosha Panyaroad na kurekebisha kero kibaaao mkampiga majungu hadi leo yupo benchi, ona leo mambo yako shaghalagabala DSM.
 
Hzo sio kazi TISS. Yaan TISS waache kuhangaika na ishu kubwa za usalama wa nchi wahangaike na panya road. Polis ambao ndio walinzi wa mali na raia wanafanya kazi gani?
Kwahiyo kazi ya RSO kwenye Mkoa ni kumpigia ngoma RC ili acheze sio? Acha ujuaji kijana!
 
Amos tutamsingizia bure, Hawa vijana wanaojiita PanyaRoad wamekosa ajira hasa pale walipowafukuza wanachinga kufanya biashara maeneo ya mjini, walikosa ajira na namna pekee ya kujipatia kipato na kujiajiri ni hicho wanachokifanya, Serikali ilitakiwa kuwaandalia maeneo na mazingira mazuri ili waweze kufanya biashara na kujipatia kipato, kutumia nguvu sizani kama itakuwa suruhu, watapunguza lakini baadae wataendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…