pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
RPC Kanda maalumu, afisa usalama mkoa (TISS) na ma RPC wa mikoa ya kipolisi wawe wa kwanza kuwajibishwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio kazi anayoiweza kwa ufasaha.Anawazaga kuchoma masoko tu ndio mganga wake anavyomtumaga.
Sasa hivyo vitengo kwa sasa si nasikia vimejaa UVCCM!Yaani tunashindwa kuchunguza na kujua Panya road ni akina nani na wanatokea wapi ili tuchukue hatua?.
Yaani kitengo cha CID jeshi la polisi, na hata task force fulani ya TISS wanashindwa kufanya intelejensia for a week na kukamata wote pamoja na kukata mzizi kabisa?
Yaani vitoto vidogo ndio vinasumbua mijitu tuliyoisomesha kwa hela nyingi nje na ndani na kuwapa majukumu ya kutulinda na kututumikia huku wengine tukifanya kazi kwa bidii kulipa kodi na kujenga nchi halafu yenyewe inakuwa mipumbavu tu.
Inaelekea wewe unaishi sehemu ambayo panya road hawawezi kufika. Uko na 100% ya usalama. Safi.Aliemteua anaona bado anafaa. Pambana na hali yako