Pre GE2025 Amos Makalla: Wakati mwingine kwenye maandamano msiende! Baada ya maandamano mnarudi nyumbani, imebadili nini? Wenyewe wanalipana posho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asichojua huyu jamaa, Watanzania wamepoteza interests na vyama vya si siasa sio CCM sio CHADEMA. Hawaamini kama ni kweli ukombozi wa kiuchumi na mfumo wa utawala utatokana na hivi vyama vya siasa. Ukitaka kuamini hili angalia idadi ya wapiga kura inavyopungua na angalia mwamko wa Wananchi kujiandikisha kupiga kura.

Hii sio dalili nzuri kwa mustakabali wa Taifa. Hii ina maana wananchi wamehifadhi mengi sana vifuani mwao hawajapata tu pakusemea na kuonesha hasira zao. Angalia leo hii akitokea anayeikejeli serikali au kukosoa anavyopata uungwaji mkono. Rejea Mpina, Rejea Sativa, Rejea yule kijana wa kuchoma picha ya Rais.

Kuna siku itafika mtagundua mpinzani wa CCM sio CHADEMA wala CUF ila itakua too late kusahihisha makosa yenu.
 
Makalla usiwafanye wananchi wa 2024 sawa na 1947 nani hajui kama hapo ulipo unalipwa posho bila posho ungekuwa CCM? Unaowakusanyaga kila kuchao wakupigie makofi unawalipa posho? au kuwapandisha Mafuso ndo posho! Watu wanapenda Kwa pesa zao Kwa nguvu zao kwakuwa wameshawachoka! Halafu hauna mvuto Wala ushawishi Kwa kauli hizo hakuna neno jipya Kwa mwananchi wa leo. Mmeshaishiwa!
 
Ni kweli kabisa siku ntawaona watoto wa mbowe na mke wake ntaandamana
 
Wananchi hawajapewa hata Bajaj Bora CCM wanagawa bodaboda za Mkopo bila riba
Ni sahihi kabsa ila ni aibu miaka zaidi ya 40 chama tawala ndio kinajilinganisha na vyama vya juzi tu ambavyo havina hata ruzuku ya kujiendesha.UWE UNATUMIA AKILI WAKATI MWINGINE.
 
Si mlisema Chadema imekufa! Mbona kila siku machawa wa CCM mnahangaika na Chadema?
Itakufanye wakati kila siku inaandika barua kwa Samia kuomba ruzuku za miaka ya nyuma, Kama wajanja warudishe ruzuku zote uone Kama watadumu🤣
Chadema ni duka la mwenyekiti
 
Nyie chadema kuleni tu hzo ruzuku CCM ni chama Cha umma, ndo maana mnaandika kuomba hela CCM na mnakula bila hata kujenga ofs, mnanunulia majengo ya mchongo 🤣
Kwani hilo tutusa lenu Makala linazunguka nchi nzima kufanya mikutano halipwi posho kwa kazi hiyo
 
Ukiona mtu mwenye Elimu kubwa anaongea maneno kama haya ya kujitoa ufahamu jua kua kunakitisho amekiona mbele yake. Swala la siasa siyo swala la familia ni swala lako peke yako ata huko Afrika kusini wapigania uhuru hawakufanya harakati na familia zao wakina thabu mbeki Nelson Mandela na wengine walifungwa lakini familia zao zilikuws huru na familia nyingine zilikuwa nje ya nchi. Watu hawa wanaambiwa hivi sasa waandamane kwa Amani na viongozi wao. Ogopa itakapo fika maandamano hayana kiongozi, I kama ya misri au ya sasa ya kenya.
 
Kuna siku hii arrogance itaisha
 
Ni sahihi kabsa ila ni aibu miaka zaidi ya 40 chama tawala ndio kinajilinganisha na vyama vya juzi tu ambavyo havina hata ruzuku ya kujiendesha.UWE UNATUMIA AKILI WAKATI MWINGINE.
Billion 2.37 wanakula wenyewe tu huo km sio usenge ni nini? Kitu gani ambacho wao wamerudisha kwa Jamii? Nionyeshe hospital gani wamepeleka hata baiskeli za wagonjwa tu kuonyesha kwamba wanawasaidia Wananchi zaidi ya kugawana hio Ruzuku wenyewe? Alafu unaposema Miaka 40 huo ni upumbavu wako uliokujaa kichwani sababu Mimi nazungumzia kitu kingine na Wewe unazungumzia kitu kingine nimesema warudishe kwa Jamii sio kupiga Domo tu nini wamerudisha kwa Jamii kupingapinga ovyo mikakati ya Serikali hicho ndicho walichorudisha kwa Jamii? Tunataka vitu vinavyoonekana sio kutuonesha Jumba la fulani lililojengwa kwa Mabillion ya shillings ndio kurudisha kwa Jamii huko?
 
Kwa nini wanayaogopa na kuyakataza?
 
Mbona anaongelea CHADEMA tu kwenye mikutano ya CCM?....Sawq hao anaowaambia hayo yeye amewalipa posho au amewapa hela ya chakula?Safari hii hakuna mwenezi pana mfifishaji
 


Hawa jamaa wanaona wananchi ni wajinga sana. Hizi ni dharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…