magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Asichojua huyu jamaa, Watanzania wamepoteza interests na vyama vya si siasa sio CCM sio CHADEMA. Hawaamini kama ni kweli ukombozi wa kiuchumi na mfumo wa utawala utatokana na hivi vyama vya siasa. Ukitaka kuamini hili angalia idadi ya wapiga kura inavyopungua na angalia mwamko wa Wananchi kujiandikisha kupiga kura.
Hii sio dalili nzuri kwa mustakabali wa Taifa. Hii ina maana wananchi wamehifadhi mengi sana vifuani mwao hawajapata tu pakusemea na kuonesha hasira zao. Angalia leo hii akitokea anayeikejeli serikali au kukosoa anavyopata uungwaji mkono. Rejea Mpina, Rejea Sativa, Rejea yule kijana wa kuchoma picha ya Rais.
Kuna siku itafika mtagundua mpinzani wa CCM sio CHADEMA wala CUF ila itakua too late kusahihisha makosa yenu.