PreGE2025 Amos Makalla: Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi?

Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe msemaji wa CCM

Inasikitisha sana kuona CCM ina msemaji kama huyu


Your browser is not able to display this video.
 
Na mimi nina Ushauri..., Wanasiasa msituingilie kwenye Michezo yetu..., mnaharibu huko kitaa na sasa mnataka kuingia huku kwenye starehe zetu...
 
Huyu bwege kweli anadhani watu wataacha kupenda timu zao wakahangaike na kichwa tofali kama yeye?
 
NO REFORM NO ELECTION
 
Miaka 60 bado tunaongelea madawati, barabara na vyoo. Halafu mtu mwenye nafasi kubwa kwenye chama tawala anaongea ujinga kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…