Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Wakuu,
Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi?
Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe msemaji wa CCM
Inasikitisha sana kuona CCM ina msemaji kama huyu