Pre GE2025 Amosi Makalla mwenezi wangu punguza kuwataja taja CHADEMA katika Mikutano yako unawapa unnecessary mileage

Pre GE2025 Amosi Makalla mwenezi wangu punguza kuwataja taja CHADEMA katika Mikutano yako unawapa unnecessary mileage

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hana jinsi zaidi ya kuushi ukweli. Kila akiangalia kura za ccm ni lazima vyombo vya dola vihusike, na kura wanazopora ni za cdm, hapo unatarajia aache kuwataja kila mara?
 
Wewe mbona umewataja, naye kama wewe, usimlaumu basi.
 
Achana nao hao wazembe nakuomba katika mikutano yako usiwe unawataja taja hao watu, unawapa mileage ambazo hawastahili, sasa hivi wanaokoteza Wagombea wanawaambia wachukue fomu, CCM ni chama kubwa sana, kukiongelea chadema nao kama unakipa promo vile, maoni yangu tu.

Mimi nakereka sana kusikia ukikitaja hicho chama cha wajanja wajanja majukwaani

Soma pia: Amos Makalla: CHADEMA hawakuwa na kura za maoni kupata wagombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Bila kuitaja Chadema mkutano wa CCM hauwezi kunoga.
 
Back
Top Bottom