Amri Kiemba angalia gemu ya Coastal vs Azam sasa hiv uone kama kweli Azam wataweza kucheza na Simba hiyo February 24

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana uwanja mzima namuona Fei na Nurdin t yule mmanga aliyetoka Singida Black stars.

Butua butua nyingiiiii
 
Hakuna utetezi hapo, mtawapiga kirahisi tatu kama msimu uliopita. Nyie dugu moja.
 
Kocha wa Azam achunguzwe na takukuru game muhimu kama hii unamuanzisha Silla na Akaminko nje hii sio kweli.
Ila kiemba Ile interview yake na kishamba media aombe waifute ni kiazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…