Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Hongera sana mkuuMwanzoni Azam inaanzishwa nilikuwa naipenda kuishabikia. Lakini baada kuona inafungwa ovyo oyo tu pamoja na kuwa moja ya timu ambazo zina kila kitu hasa hasa kwa wachezaji.
Nimeamua kuhamia Yanga SC. Kiukweli na enjoy kuwa mwananchi. Pamoja na hao Azam kuonyesha wazi wazi ule Friends of Simba hainitishi. Msimu Mzigo ni wetu.
#LeohadikeshomiminiMwananchi
Kama ni kadi GSM mwenyewe ana kadi ya SimbaIna maana kwamba azam wanaichukulia simba kawaida zaidi na ndio maana maandalizi ni ya kawaida kabisa,
Yaani eti pisi kali inakuja then usijiandae, halafu ije pisi mbovu ujiandae? Unajiandaa nini sasa?
Pia tunajua wazi hata bakhresa mwenyewe ana kadi ya simba kuna nini hapo?
Team ndogo (azam) hufanya maandalizi makubwa pale zinapokutana na wakubwa (yanga).
Wakati team ndogo kama azam, simba,geita,ruvu, polisi,mbeya kwanza and the like zinafanya maandalizi ya kawaida tu sababu hakuna la maana na zote zina uwezo sawa waogope nini?
Kumbe kwa vigezo hivyo utaona Simba ambayo imefika robo mara 4 mfululizo sio ya kuiweka kwenye mizani moja na timu zingine
Naona umeelewa sasa kuwa timu yako ili ipate authority ya kujifananisha na mimi inatakiwa iwe imefikia hizo record tena record ziwe za recently usituambie habari za 47BC hapa
We jamaa umekunywa maji ya bendera ya makolo sio bureNi unyonge ndio unaopelekea hali hiyo
Azam kumchukulia Yanga kama mpinzani mkubwa ni sahihi kwasababu wanatoshana kinguvu
Azam kuichukulia mechi na Simba katika level tofauti na kiupinzani ni ushahidi kuwa wao ni wanyonge kwa Simba hakuna wanaloweza kulifanya likawa kiasi cha kuona impact ya upinzani wao dhidi ya Simba
Unapokuwa kwenye maandalizi na timu ambayo ni level zako (japo umeizidi kidogo) lazima kuwe na utofauti wa kimolari na pale unapokuwa upo kwenye season na mpinzani aliyekuzidi
Hayo mameno ya kusema fainali angeyasema kwa kui refer simba kwangu mimi inge sound ridiculous sana.
Azam kui treat mechi yake na Yanga kwa viwango vya fainali naunga mkono hoja hiyo kwasababu katika duru la soka wote wako level moja utofuti hii timu nyinginr ina amini sana kwenye historia za miaka ya BC kama makala za jamaa mmoja anaitwa mohhammed said
Hii mechi na Azam sisi tunaichukulia kama mechi zingine na timu ndogo tulizocheza nazo kama Yanga, Ruvu, Geita nk
Kama babra alivyo na kadi ya YangaKama ni kadi GSM mwenyewe ana kadi ya Simba
Kwenye ligi mara ya mwisho Azam alishinda dhidi ya simba mwaka 2017 mwezi januaryAkizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale clouds TV &FM.
Aliyewahi kuwa kiungo wa simba,azam,na team ya taifa amri kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya yanga na azam,wao azam huwa wanafanya kama finali tofauti na simba sababu kubwa anaijua yeye..
"Mimi nimecheza mpira azam na simba, nilipokuwa azam maandalizi ya mechi na yanga yalikuwa makubwa yaani kama finali, ila tukiwa tunacheza na simba basi inakuwa kawaida tu kama mechi zingine tu. Hivyo ingekuwa ni yanga na azam inapigwa basi kungekuwa na promo na maandalizi mengi"
Amehitimisha mchezaji huyo mkongwe..
Je, hii inakupa picha gani? Kwamba simba na azam ni kama mtu na mkewe? Ama azam ilianzishwa kumpa upinzani yanga?
Napata mashaka sana na mechi hiyo azam lazima wataachia wafungwe, hivi mara ya mwisho azam kuwafunga simba lini?
Hapa mechi hii inabidi ichunguzwe sana kiuhalisia simba hii mbovu na azam mbovu hapo azam anatakiwa ashinde laknil utaona wanaaachia wafungwe makusudi..
Kwani aliloachia ndilo lilikuwa goli la ushindi? Makolo bhanaKwanini asianze kuchunguzwa golikipa wa Dodoma Jiji ambaye alirushia mpira wavuni kwake kabisa
Akili ni nywele kila mtu ana zake.Ni unyonge ndio unaopelekea hali hiyo
Azam kumchukulia Yanga kama mpinzani mkubwa ni sahihi kwasababu wanatoshana kinguvu
Azam kuichukulia mechi na Simba katika level tofauti na kiupinzani ni ushahidi kuwa wao ni wanyonge kwa Simba hakuna wanaloweza kulifanya likawa kiasi cha kuona impact ya upinzani wao dhidi ya Simba
Unapokuwa kwenye maandalizi na timu ambayo ni level zako (japo umeizidi kidogo) lazima kuwe na utofauti wa kimolari na pale unapokuwa upo kwenye season na mpinzani aliyekuzidi
Hayo mameno ya kusema fainali angeyasema kwa kui refer simba kwangu mimi inge sound ridiculous sana.
Azam kui treat mechi yake na Yanga kwa viwango vya fainali naunga mkono hoja hiyo kwasababu katika duru la soka wote wako level moja utofuti hii timu nyinginr ina amini sana kwenye historia za miaka ya BC kama makala za jamaa mmoja anaitwa mohhammed said
Hii mechi na Azam sisi tunaichukulia kama mechi zingine na timu ndogo tulizocheza nazo kama Yanga, Ruvu, Geita nk
ipo na yule mchambuzi wa mchongo aka Kipara ngoto kala tofaliNje ya mada ile kamati ya masaa 72 ipo siku Hizi?!!!
We kolo uongo huu umeupata wapi?Kama ni kadi GSM mwenyewe ana kadi ya Simba
Yule Kipa ndie alistahiki kupigwa teke na Kocha wakeKwanini asianze kuchunguzwa golikipa wa Dodoma Jiji ambaye alirushia mpira wavuni kwake kabisa
Sasa kama ndio ujinga alio mezeshwa unategemea ateme nini kama sio huwo ujinga.Unaposema wakubwa wenzenu ni ahly ahly and the like
Tunajua ahly ahly ni mabingwa karibu mara jumi CAF na wameingia final mara tatu mfululizo wakati simba haeajahawa kunusa final achilia mbali kufika nusu .!
Ahly ahly wana uwanja simba mpaka wakitembeza bakuri na hela haikufika hata bilioni 5! Kweli wakubwa wenzenu hao.[emoji23][emoji23].
Ahly ahly anachezaga CAF wakati simba anacheza shirikisho na bado akafumuliwa na team ya hovyo orando ambayo msimu ujao haina uhakika kushiriki tena [emoji23][emoji23].
Mbaya zaidi na faini juu sababu ya uchawi na matambiko, si wenzenu ahly ahly huwa wanaroga eeh na wakapigwa faini?[emoji23][emoji23]
Hebu nicheke
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale clouds TV &FM.
Aliyewahi kuwa kiungo wa simba,azam,na team ya taifa amri kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya yanga na azam,wao azam huwa wanafanya kama finali tofauti na simba sababu kubwa anaijua yeye..
"Mimi nimecheza mpira azam na simba, nilipokuwa azam maandalizi ya mechi na yanga yalikuwa makubwa yaani kama finali, ila tukiwa tunacheza na simba basi inakuwa kawaida tu kama mechi zingine tu. Hivyo ingekuwa ni yanga na azam inapigwa basi kungekuwa na promo na maandalizi mengi"
Amehitimisha mchezaji huyo mkongwe..
Je, hii inakupa picha gani? Kwamba simba na azam ni kama mtu na mkewe? Ama azam ilianzishwa kumpa upinzani yanga?
Napata mashaka sana na mechi hiyo azam lazima wataachia wafungwe, hivi mara ya mwisho azam kuwafunga simba lini?
Hapa mechi hii inabidi ichunguzwe sana kiuhalisia simba hii mbovu na azam mbovu hapo azam anatakiwa ashinde laknil utaona wanaaachia wafungwe makusudi..
Yaani huwa nacheka sana utaskia kocha pitso alisema kwa mkapa uwanja mgumu kuliko vyote alivyowahi kuona.Sasa kama ndio ujinga alio mezeshwa unategemea ateme nini kama sio huwo ujinga.
Ukitaka kujua kama wamemezeshwa wafuatilie washabiki wote wa Simba wanapo jifananisha na Al ahly .
Maneno yao yote yanafanana hawaongezi wala kupunguza hata neno moja
Swala ni hili la azam kuwachiak simba mara wanapocheza .Hii inaonyesha ni jinsi gani UTOPOLO hawajiamini kabisaa
Yaani mpaka sasa Uto hawaamini kama wanakuaje mabingwa mbele ya Mnyama?
Sasa kweli Simba aanze kumuhonga Azam kwani Uto hawataahinda tena game zao zilizo bakia?
Ni kama Uto wanajaribu kutengeneza excuse iwapo wataboronga game zao na Mnyama akashinda zote
Na ndio maana hii team kila siku inazidi kudidimia chini wanazidiwa hata na geita sababu hii ya kuendeleza undugu wao .Siyo hilo tu, Kiemba amewahi kusema wakati anacheza Azam mechi ya Azam na Simba ilikuwa huwezi kumwona kiongozi yeyote wa Azam kambini kuwapa hamasa au kuahidi motisha kwa wachezaji, lakini mechi dhidi ya Yanga viongozi wa Azam wanakuwa wanapishana kambini na kutoa ahadi nyingi za motisha waifunge Yanga.
Kwa maana hii ni kwamba yanga ndio tishio ndio maana maandalizi yanakuwa makubwa..Timu yenyewe ushasema ni SIMBA Nani hamuoogopi Simba?